Mabraza wa enzi hizo Dar kumbukumbu zangu

Mabraza wa enzi hizo Dar kumbukumbu zangu

Ndo huyo huyo.

Alinizidi vidato…niko form one yeye yupo form three nadhani.

Muda wa kutoka shule jamaa anaingia kwenye gari yake anapiga sana misele mbele ya shule.

Dah
Watu walikuwa wanakuja shule na magari wakati kuna walimu hawana magari.

Cool Moe Cee alikuwa anakuja na gari shule. Siku nyingine anatubeba Obay mpaka Tambaza kwenye gari lake.
 
Watu walikuwa wanakuja shule na magari wakati kuna walumu hawana magari.

Cool Moe Cee alikuwa anakuja na gari shule. Siku nyingine anatubeba Obay mpaka Tambaza kwenye gari lake.
Ki parking lot cha SRSS kilikuwa kinajaa mpaka wengine wanapaki huku karibu na Diamond Jubilee.

Halafu wanaoendesha ni watoto wadogo tu. Ma teenagers.
 
Changia mkuu....ni mda sasa kuna mengi tumesahau 🤣🤣
Hii mada yako imenikumbusha kitu.

Kuna siku nilitaka kuanzisha mada ya pisi kali za enzi hizo.

Shule gani ilikuwa na pisi kali…..kiunga gani cha mji kilikuwa na pisi kali - Mikocheni, Mwenge, Oysterbay, Msasani, Upanga, Sinza, Chuo, Makongo, n.k.

Ila nikasita aisee maana nikianza kuzitaja hizo pisi, panaweza pasikalike hapa.

Ila Sophia Sebo…..mashaallah 🤣.
 
BRO HV COOL MOE CEE ALIKUA CREW GANI????
HILO JINA SIO GENI KWANGU.
Cool Moe Cee (Mosi) Mnyamwezi fulani hivi alikuwa ana hang sana na Kwanza Unit na watoto wa IST.

Jamaa alitoka Marekani miaka ile akarudi Bongo akazibuka Kinyamwezi ile mbaya.

Jamaa anadunda mpaka unaona kama ardhi itatetemeka hivi.
 
Hii mada yako imenikumbusha kitu.

Kuna siku nilitaka kuanzisha mada ya pisi kali za enzi hizo.

Shule gani ilikuwa na pisi kali…..kiunga gani cha mji kilikuwa na pisi kali - Mikocheni, Mwenge, Oysterbay, Msasani, Upanga, Sinza, Chuo, Makongo, n.k.

Ila nikasita aisee maana nikianza kuzitaja hizo pisi, panaweza pasikalike hapa.

Ila Sophia Sebo…..mashaallah 🤣.
Usimsahau yule shombe wa kiarabu Zamda ambae mpaka Mh Kinyondo alihonga nyumba 🤣🤣🤣 ubungo enzi hizo!!!!!
 
Back
Top Bottom