Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,591
- 13,645
- Thread starter
- #441
Mzuka wa ughaibuni ulipotea baada ya genocide ya 1994...kuna mengi yalivuruga ubongo wangu kama yanki kisaikolojia maana nilipoteza wana ukoo kibao kule...na wengine walizamia ughaibuni kukimbia vita.Wengi wamejaa Columbus Ohio, Dallas &Houston, St Louis, NY, Wichita etc ukienda miji huyo lazima ukutane hata na mmoja, wengi watu wazima watoto wao wameshamaliza college na wengine Wana wajukuu kabisa, generations zako sasa ni Americans na wakirudi bongo ni wao peke yao sio watoto wao, soon or later majina kama Mushi, Rweyemamu, Bundala etc yataanza kuwa kawaida in US
Mwaka mmoja nyuma nilikua kigali,,,niliporudi dar kijiweni kkoo wana kibao walikua wameondoka.