Mabraza wa enzi hizo Dar kumbukumbu zangu

Mabraza wa enzi hizo Dar kumbukumbu zangu

Kilikua kizazi fulani hv cha kibabe kinaishia...pia watu walikua wakubwa ( mtu karudia std 7 mara 2 ) ndio anaingia form 1
I concur
kuna jamaa ambaye amewahi kuwa kwenye cabinet na amewahi kuhudumu kwenye vyama vya siasa viwili vikuu na anatoka kanda maalum.
Alianza Frm 1 akiwa na 20+ na washkaji wake walikuwa walimu. wana walikuwa wanamkwepa sana.
Alikuwa anapenda uongozi balaa hadi chuo aliendeleza kuwa against wanafunzi. Nakumbuka kuna kipindi kulitokea bonge la kunji Milima, jamaa akiwa Rais akapotea chuoni mwezi mzima.
 
Back
Top Bottom