Maboresho ya JF - 2019

Maboresho ya JF - 2019

Khantwe sasa huo ni utoto. Ucomment halafu ujipe like? Hapa wanasema ni Great thinkers not kids corner. Usinitupie madongo.
Dada niliyetoa wazo sio mimi mimi nimeongezea tu nilipoona boss Max anashangaa suala la kujipa like mwenyewe ndio nikatoa mfano kuwa Facebook tunajipa si kwamba lilikuwa wazo langu
 
Mimi bado naomba maboresho ya ignore/block button... Nataka mtu ukimuignore yaani iwe jumla hata harufu yake usiisikie yaani hata akikuquote notification isije
 
Dada niliyetoa wazo sio mimi mimi nimeongezea tu nilipoona boss Max anashangaa suala la kujipa like mwenyewe ndio nikatoa mfano kuwa Facebook tunajipa si kwamba lilikuwa wazo langu
Kumbe mimi nilisoma ile yakwako nikaona hapa siyo vizuri. Pole na hasante.
 
Leo ujiite Daudi de classic na kesho ujiite “Daudi de Classy” na keshokutwa ujiite “Mtambaa Panya” wiki mbili baadae ujiite “Mrembo wa Kigogo” mwezi mmoja baadae ujiite “Nyongo Mkalia Ini” baada ya miezi 2 ujiita “Mkapa Mpya” miezi 3 baadae ujiite “Cha Upele” etc?

Hapana, kwa JF tunajaribu kudhibiti hili!
Hata mara 2 kwa mwaka sio mbaya kuliko hali ilivyo sasa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usisahau kuweka kitufe cha voice note maana wengine wavivu sana kuandika


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wakuu,

Naomba kuwafahamisha kuwa siku si nyingi tutafanya maboresho kidogo kwenye mwonekano na matumizi ya JF.

Lengo ni kuzingatia mahitaji ya wadau (ambayo yamekuwa yakiombwa), kuendana na mabadiliko ya kiteknolojia na kuimarisha zaidi uimara wa platform.

Aidha, maboresho hayo yataenda hadi kwenye kuimarisha miundombinu (infrastructure) ili kuongeza uimara wa kukabiliana na hali yoyote.

Mabadiliko mengine ya aina hii yanaweza kufanyika 2021 au 2022.

Maboresho ya Miundombinu yamepangwa kufanyika usiku wa manane wa kuamkia tarehe 26/03/2019.

Asante kwa ushirikiano mnaoendelea kutupa.
Tunaomba button ya dislike

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom