Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
Ee mbona Facebook tunalikeYaani unataka uweze like posts zako mwenyewe?![]()
Ee mbona Facebook tunalikeYaani unataka uweze like posts zako mwenyewe?![]()
Hili tutaliangalia kwa angle yake. Liwe chini ya MMU?Naomba liwepo jukwaa la watoto pia,liwe maalum kwa ajili ya walezi/wazazi na wazazi watarajiwa pia.Ili tujadili Lishe,changamoto katika malezi na makuzi ya watoto wetu.
Na unasikia raha kupata LIKE yako mwenyewe? 😅Ee mbona Facebook tunalike
Na unasikia raha kupata LIKE yako mwenyewe?![]()



kuhusu hilo sijui kwa kweliHa haaa ushindwe na ulegeeMkuu ombi letu la muda mrefu la kuwa na jukwaa maalum la ushirikina na mambo ya giza mlikumbuke tafadhali
Jr![]()


haijawahi kutokea... Haitakaa itokee nishindwe halafu nilegee
Nimeipenda hii confidenceThis time tupo fit, wanakaribishwa hata sasa!
Dislike mkuu msiiweke itatumika vibaya!Hatuzimi![]()
Mkuu Mshana, hili ombi lako naona lilishafanyiwa kazi zamani sana.Mkuu ombi letu la muda mrefu la kuwa na jukwaa maalum la ushirikina na mambo ya giza mlikumbuke tafadhali
Jr![]()
Unataka kudislike nini na kwanini? Mimi bapendekeza kitufe cha thanks ndo kiongezwe.Maxence Melo tunahitaji kitufe cha Dislike, au fanya tupige kura uone.
Dah... Mlitazame na suala la utajiri wa Ids...maana unaweza kushambuliwa humu ukadhani unashambuliwa na brigedi.....kumbe mutu moja tu
Sent using Beretta ARX 160





Mkuu, nimeshatuma ombi uniunge JUKWAA LA WAKUBWA lakini ukani-ignore hukunipa hata jibu mkuu.
Kama kuna malipo ya kulipia sema basi nilipie uniweke huko, mambo mengine tunahitaji ku-share sio vizuri kufungua threads kwenye majukwaa ya kawaida kiongozi.
Natumai unafanyia kazi ombi langu mkuu. Na naomba kujua nikihitaji kuwa na rank kama gold au platinum member naomba taratibu zake na malipo yanakuwaje please.
Natanguliza shukran kwenu. Thanks.
Khantwe sasa huo ni utoto. Ucomment halafu ujipe like? Hapa wanasema ni Great thinkers not kids corner. Usinitupie madongo.Na unasikia raha kupata LIKE yako mwenyewe? 😅
Naona umemnukuu kimakosa huyo uliyemjibu kuhusu "maadili ya Kitanzania" .Ziko wapi tena hizo?
Hivi tuseme mara ngapi?Nashauri maboresho hayo yaimarishe usalama wetu humu ndani kwa sababu wengi tumetumia email halisia kujiunga humu so maboresho napendekeza yafanyike haraka iwezekanavyo kabla ya 2020 kwa sababu wakati wa kampeni ukianza tunataka tumwage madudu mengi mno humu ndani.
Kwa email au kwa app notifications?Kuna tatizo la kutopata notifications za sledi yako fanyeni muwezeshe. Ova
Leo ujiite Daudi de classic na kesho ujiite “Daudi de Classy” na keshokutwa ujiite “Mtambaa Panya” wiki mbili baadae ujiite “Mrembo wa Kigogo” mwezi mmoja baadae ujiite “Nyongo Mkalia Ini” baada ya miezi 2 ujiita “Mkapa Mpya” miezi 3 baadae ujiite “Cha Upele” etc?Tukiruhusiwa kuedit Jina itapendeza zaidi Mkuu