Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 17,572
- 27,318
JF (Online kuna usiku) ?Hapana hii ni maboresho na pengine yatafanyika usiku sio kama ule uvamini wa wakati ule
Jr![]()
JF (Online kuna usiku) ?Hapana hii ni maboresho na pengine yatafanyika usiku sio kama ule uvamini wa wakati ule
Jr![]()
Siku CHACHE zijazo 🙂
Hapo nashukuru maana wengine bila JF ni sawa na kuwa kwenye msiba. Siwezi ishi bila hii kitu. By the way badala ya ignore unaonaje mkaweka block? Mkiblock watu hapa itapendeza. Wengine vikongwe tunatukanwa na vijukuu bila sababu.

mkuu watakusikiaHa ha ha ha itabidi wapate muda watulie na familia zaoUsiku kuna thread ya Wazee wa Usiku wa Manane, isije kuathiri utendaji wao siku hiyo.
Wakuu,
Naomba kuwafahamisha kuwa siku si nyingi tutafanya maboresho kidogo kwenye mwonekano na matumizi ya JF.
Lengo ni kuzingatia mahitaji ya wadau (ambayo yamekuwa yakiombwa), kuendana na mabadiliko ya kiteknolojia na kuimarisha zaidi uimara wa platform.
Aidha, maboresho hayo yataenda hadi kwenye kuimarisha miundombinu (infrastructure) ili kuongeza uimara wa kukabiliana na hali yoyote.
Mabadiliko mengine ya aina hii yanaweza kufanyika 2021 au 2022.
Asante kwa ushirikiano mnaoendelea kutupa.
Nawe ni mod? Maana umechangia kama unajua kinachokwenda kufanyika, au ndio ujuaji mwingi!!!Naombeni tujiandae kisaikolojia na haya maboresho... Kuna baadhi yetu yatutuumiza kwa upande mmoja na kunufaisha upande mwingine... Tusije kulalama ni maboresho
Jr![]()
Wazo nilotaka kulitoa pia, hili linatakiwa walifanyie kazi. Yaani ukimblock mtu asikuone wala usimuone kabisaa ndani ya hili jukwaa.Hapo nashukuru maana wengine bila JF ni sawa na kuwa kwenye msiba. Siwezi ishi bila hii kitu. By the way badala ya ignore unaonaje mkaweka block? Mkiblock watu hapa itapendeza. Wengine vikongwe tunatukanwa na vijukuu bila sababu.
Ipo lakini haina nguvu kabisaa na hili nishawahi kuona watu kadhaa wakililalamikia humu. Lifanyieni kazi tafadhali.
AiseeThis time tupo fit, wanakaribishwa hata sasa!
Wakuu,
Naomba kuwafahamisha kuwa siku si nyingi tutafanya maboresho kidogo kwenye mwonekano na matumizi ya JF.
Lengo ni kuzingatia mahitaji ya wadau (ambayo yamekuwa yakiombwa), kuendana na mabadiliko ya kiteknolojia na kuimarisha zaidi uimara wa platform.
Aidha, maboresho hayo yataenda hadi kwenye kuimarisha miundombinu (infrastructure) ili kuongeza uimara wa kukabiliana na hali yoyote.
Mabadiliko mengine ya aina hii yanaweza kufanyika 2021 au 2022.
Asante kwa ushirikiano mnaoendelea kutupa.
Mkuu Melo hapo kwenye miundombinu mtaweka flyover?
Kitufe cha Ku Like mwenyewe tafadhali. Teh teh.