Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 52,675
- 130,492
Halafu kuna zile post ambazo unakuta umechangia lakini baada ya muda unakuta imeamishwa na mods kwenye jukwaa lingine ambalo mimi sio member, uki click link inakwambia need valid post id, nilikua napendekeza kwanini yasiwekwe maelezo yenye kuelekeza mahala ambako post imeamishiwa ili tuweze kuifatilia
Sent using unknown device
Sent using unknown device