cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 28,669
- 78,165
Wakuu wa JF ,hivi hakuna uwezekano wa Kua tuna set reminder(iwe inapiga hata ka alarm flan hivi).
Nikimaanisha kama kuna uzi nimeupenda lkn sina muda wa kuusoma kwa wkt huo then na-set hapo hapo kwny huo uzi reminder ili ikifika muda flani inishtue nisome huo uzi wakuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sasa kama hii huijui.. tumia watch thread, utaweza kuingia kiurahisi na kuendelea kusoma.. kuna option mbili zitakuja kwa pop up window.. utachagua.

