The Boldly
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,377
- 5,150
Umekiona mkuu?Muweke na kitufe cha dislike
Sent using my Nokia Torch
Umekiona mkuu?Muweke na kitufe cha dislike
Sent using my Nokia Torch
Inatengemea na umetumia kwenye thread gani kama maudhui ya mada flani ni ya TANZIA unaweza kubonyeza thanks? bora like inaweza kupunguza ukali wa maneno'Thanks' na 'Like' nadhani yana maana sawa, yote yanaonyesha kukubaliana na kitu husika.
hebu anzisha uzi
Thanks na like ni vitu viwili tofauti ujueTayari upo ule wa likes ni muda muafaka mods wabadilishe heading uwe uzi maalumu wa kupeana thanks,comment chochote upate thanks
Thanks na like ni vitu viwili tofauti ujue
Yana maana tofuti mpaka hapo. Toeni au weken vyote. Maana ni sawa na kutufanya hatujui maana yake. Wapo wanaosema ahsante hata kama wamechukia!Ndani ya JF, hivi karibuni nemeona kitufe cha 'like' kuwa 'thanks'. Kila nikitaka kutoa 'like' nashindwa kwani nionavyo mimi haya maneno yana maana mbili tofauti hasa katika mazingira ya social media.
Kwa nini 'like' isibakie wakati huo huo 'thanks' ikiongezwa- viwepo vyote viwili kwani member anaweza kutoa 'thanks' vile vile kwa member mwingine?
Kuna kitufe cha sad piaInatengemea na umetumia kwenye thread gani kama maudhui ya mada flani ni ya TANZIA unaweza kubonyeza thanks? bora like inaweza kupunguza ukali wa maneno