The August
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 1,079
- 2,027
[emoji23][emoji23][emoji23]Uzi maalumu wa kupeana thanks daah
[emoji122][emoji122][emoji122]Thanks siyo tamu kama like
KweliJF wameyumba hapo
[emoji122][emoji122][emoji122]Thanks na like ni vitu viwili tofauti ujue
[emoji122][emoji122][emoji122]Mimi naona waturudishie like yetu thanks inaboa
Hapana
Nimejaribu pia ila nimeshindwa kupapasaSie tunaotumia simu hiyo cursor tunapapasia wapi?
Umeelewa vipi mkuu, Mimi nashindwahapo nimeeelewa mkuu shukrani sana
Masau Bwire anajua sana hizi mambo za mipapaso,ngoja tumuulizeNimejaribu pia ila nimeshindwa kupapasa