Maboresho ya JF - 2019

Maboresho ya JF - 2019

Kitengo cha IT hapa JAMII FORUMS siamini kwamba mmeshindwa kabisa kutuwekea kitufe cha LIKE badala yake tukitaka ku`LIKE inabidi tupost emoji ya makofi,kweli?acheni kutuona wapuuzi bana,kila siku mnafanya marekebisho ya SITE afu mnashindwa kuuona umuhimu wa kitufe cha LIKE?
naamini mpo wengi mnaokwerwa na hili,naomba niwe mwakilishi wa wengi wanaokereketwa na upuuzi huu na muufanyie kazi,make JF to be the best of it..
HILO TATIZO LITAKUWA LIPO BAADHI YA WATU. ILA KWANGU HAKUNA HILO TATIZO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa niaba ya mkuu wa idara ya JF- IT napenda kukupa taarifa wewe na wengine kuwa hiyo emoji 👏 na zile nyingine nne tumeziweka kwa majaribio.

Asante.
 
Kwa niaba ya mkuu wa idara ya JF- IT napenda kukupa taarifa wewe na wengine kuwa hiyo emoji 👏 na zile nyingine nne tumeziweka kwa majaribio.

Asante.
Mmeziweka kwa ajili ya majaribio ya nini?
NONSENSE!
 
Mbona kitu kidogo kama hiki tunalalamika sana?au tumeshakuwa walalamikaji kwenye soft issues?sasa kuna tofauti gani kati ya like tuliyoizoea na thanks ya emoji? zote zinaleta maana moja.
 
Mkuu Maxence Melo kuna changamoto moja huwa nakutana nayo kuangalia nyuzi za baadhi ya member waloweka accounts zao private. Unakuta kuna uzi niliosoma kipindi cha nyuma lakini nikitaka tena kwenda kuusoma mara nyingine inashindikana sababu nikiingia kwenye profile ya member siwezi pata option ya ku view threads zake sababu account iko private. Naomba iwepo option ya kuziona thread peke yake huku mambo mengine yabakie private as member alivyokusudia.
Mfano madini ya huyu member barafu nashindwa kuyaona sababu hiyo
Nawasilisha

Tumia app, unaona started threads vs replies.
 
Some years back, ilikuwa ukiwa kwenye thread fulani kwa chini unaona threads kadhaa ambazo zinafanana na hiyo.

Hivyo kama kuna kitu ulikuwa unatafuta na haujapata jibu unaweza kuclick thread iliyowekwa kwa chini, ni zaidi ya miaka miwili sasa hiyo kitu haipo. Nakumbuka niliwahi kuiulizia mkairudisha kwa siku chache tu.

Fanyieni kazi hiko kitu mkuu, kinasaidia sana kama kuna taarifa unatafuta.

Maxence Melo, JamiiForums, Moderator, Active, Fang et al.

Tatizo la kutoona similar threads limejirudia.
 
Mkuu, nimeshatuma ombi uniunge JUKWAA LA WAKUBWA lakini ukani-ignore hukunipa hata jibu mkuu.
Kama kuna malipo ya kulipia sema basi nilipie uniweke huko, mambo mengine tunahitaji ku-share sio vizuri kufungua threads kwenye majukwaa ya kawaida kiongozi.
Natumai unafanyia kazi ombi langu mkuu. Na naomba kujua nikihitaji kuwa na rank kama gold au platinum member naomba taratibu zake na malipo yanakuwaje please.
Natanguliza shukran kwenu. Thanks.

Mkuu maombi yako yalifanyiwa kazi?
 
Sio tatizo, imekuwa disabled ikifanyiwa maboresho
Fanyieni marekebisho mrudishe like, maana sidhani kama thanks ina maana sawa na like. Basi ktk hizo options kuwepo na like pia.

Alafu kwenye app notification ya mention bado ina shida.
 
Back
Top Bottom