Mabinti wenye makovu

Mabinti wenye makovu

hebu weka kwanza picha niangalie idadi ya makovu yako halafu ntakwambia nachohisi... Zikigoma hapa jaribu hata kuni-PM

Picha zangu anazo habibi wangu, my Daktaree...labda nikupe namba zake umwambia akutumie...
 
Interesting.........some truth....niliwahi date miss Tanzania contestant....aliwahi umwa na mbwa utotoni.. alikuwa anahangaika dawa ya kuondoa kovu...kabla ya fainali...wasichana wana shida
kweli interesting
 
dah..mi ninalo kwny paja af kubwa ila la kuzaliwa nalo
 
Mie ninalo kwenye goti la kushoto, nilikimbizwa na mbwa jion nikiwa natoka kuchukua maziwa... njia ilikua na moram nikateleza nikaanguka

Hapo napo ni kujiamini?!
 
Kuna dawa ya kufuta kovu!? Mi ninaomb maan ninalo uson na tumbon
 
Back
Top Bottom