Mabinti wenye makovu

Mabinti wenye makovu

Hahahaaa...nina makovu miguuni hatari, manake nlikuwa kutwa kupigana na kaka yangu, yani kanibutua sana....halafu siku hizi anajifanya ananipendaaaa.....
 
Jamani mie ninayo mbona sipo ivo kujiamini ndio najiamini hapa mtu anizingui ila kupigana naogopa mie kwa ugomvi ni muoga nkiona ugomvi natulia kimya au nahama kijiwe
 
Amekua ,,,, na anakupenda kweli.

Kweli, ananipenda sanaaa, halafu kafanana sana na baba basi ndo namuita baba mlezi...

Sasa cha kufurahisha amesomea udaktari, kuna siku akanambia atanifanyia surgery kuondoa haya makovu...nilibaki nashangaa...

Ila kunipiga kanipiga sana jamani, na hivi me mjeuri, na nina mdomo basi mwenzangu haongei ni kipondo tuu....
 
Ha ha ha ha.....
Hongera sana.
Msalimie brazaa......
 
Hahahaaa...nina makovu miguuni hatari, manake nlikuwa kutwa kupigana na kaka yangu, yani kanibutua sana....halafu siku hizi anajifanya ananipendaaaa.....

Makovu miguuni?!?!?!!
Sijui kwa nini huwa sina imani nikiona manzee anayo hii makitu kwa miguu...
 
Back
Top Bottom