Mabinti wenye makovu

Mabinti wenye makovu

Mmmmmh basi mm nkajua labda mtatutajia dawa yake mweeee maana nlivyoona hii post nmeifunguaje haraka maana nami nna kovu duuuu haya bana kumbe n kitu kingine kabisaaaaaa
 
Nafikiri dada mpenzi miss chagga ulimkovu wako uliotokana na kibao cha mbuzi unahusika hapa....

hahahha kabanga bana..sasa mchaga na Nazi wapi na wapi..au unataka tu kumkejeli miss chagga wa watu... kule kwao kuna matunda flani hivi yako kama ma passion ndio wanatumiaga kama Nazi.
 
Last edited by a moderator:
Mmmmmh basi mm nkajua labda mtatutajia dawa yake mweeee maana nlivyoona hii post nmeifunguaje haraka maana nami nna kovu duuuu haya bana kumbe n kitu kingine kabisaaaaaa

Ntumie picha ya kovu lako basi..nnayapenda kweli makovu..:A S wink:
 
kuna wengine wanayo makalioni kutokana na sindano za utotoni
 
Mmmmmh basi mm nkajua labda mtatutajia dawa yake mweeee maana nlivyoona hii post nmeifunguaje haraka maana nami nna kovu duuuu haya bana kumbe n kitu kingine kabisaaaaaa

Kwan umeelewaje wewe?
 
Oowkeeey..........basi sawa........
 
Sounds good. Mwanangu mpendwa wa kike ana alama ya kuzaliwa usoni. Man I love that Malaika sanaa
 
Back
Top Bottom