Elections 2010 Mabinti watumiwa kumrushia Mbowe kombora!

Status
Not open for further replies.
CCM wanavuta kiasi gani ktk GDP ? Mwenyekiti wake anavuta kiasi gani? nani mpenda totoz zaidi kati ya FM na JK? Ukifuatilia kwa undani hiyo clip inaihusu CCM kwa namna zote .... mwenye uwezo aifanyie edditing halafu atuwekee hapa tuangalie uhalisia....
 
Hawa mabinti mbona wamekaa ki corner Bar Coner Bar????
Hii sio sababu tosha ya kumyima Dr Slaa Kura yangu.
Milioni kumi Mbona Mbowe anaweza kuzipata in Less than A week? Bili canas inavyojaza jamani kwa siku jamaa ana make Ngapi? Thats only one of his Investments!!!
 
Hivi GDP inaingia wapi hapa? Hii message ni ABSOLUTELY STUPID. Ujue na huyo mdada kasema haki ya Mungu kwamba CHADEMA ni mafisadi...
Kuna watu wamezidiwa sasa.
 
Changudoa na GDP.......halafu huyo mmoja wamemvisha na Hijabu......kazi kwelikweli.....Freeman tugawane hiyo GDP tafadhali:becky::becky:...joking of course
 
Watoto acting unconvincing, kuongea hawajui, hesabu hawajui, takwimu hawana, wanadai GDP ya Tanzania ni 24 Bilion shillings.

Halafu baada ya hapo wanarusha figure non-sequitar kwa kutafuta 16 percent ya 24 bilion shilings.

Demu anauliza "GDP ya Tanzania ni kama shilingi ngapi?" Mwingine anamjibu "roughly ni kama 24 billion". Mwisho wanaonyesha maandishi GDP ya Tanzania ni USD 24 billion. Inaonekana huyu dada anaona neno "shilingi" ni sawa na USD, na wamarekani shilingi yao wanaiita USD, lakini ni kitu kile kile. Au anaona neno shilingi maana yake ni kiasi cha pesa kinachoweza kutolewa kutolewa katika currency yoyote. Mtu ukiwa na USD 100 mfukoni ukiulizwa "una shilingi ngapi" uweze kusema "mia moja"
 
Mabinti wenyewe hawajui hata kuongea! Watoke zao huko! Hakuna siasa za kuchafuana siku hizi!
 
CHADEMA wana sababu gani za KIJINGA NA KIPUMBAVU kutumia rasilmali zao (fedha, watu, taaluma, teknolojia, etc.) kutengeneza uchafu huu? Kama ni umaarufu tayari wanao, na ndio unaoitia kiwewe CCM!

Kaka, nadhani unahitaji kuleta ushahidi USIOPINGIKA hapa, kuthibitisha madai yako! What is the motive and benefit for CHADEMA to engage in these sewerage-politics?

Mbona hukumuuliza huyo aliyoileta kuhusu ushahidi wa alipoipata? :confused2:

Ushapata kusikia kitu kinachoita poisoning the well?
 
Duh kazi tunayo, je hili limeshaanza kuonekana kwenye vyombo vya habari kama redio na Tv?? Je hapa ujumbe ni kwamba ccm siyo mafisadi bali chadema au vipi????
 
Mbona hukumuuliza huyo aliyoileta kuhusu ushahidi wa alipoipata? :confused2:

Ushapata kusikia kitu kinachoita poisoning the well?


Soma vizuri (between the lines) post yangu, utajua kwamba nimemwambia alete ushahidi, lakini kwa kuwa ametuletea uchafu, sitarajii ataleta ushahidi! Serikali ndiyo inapaswa kuthibitisha madai haya ya kipumbavu, kwani Serikali ndiyo inayotoa ruzuku kwa CHADEMA na vyama vingine!

Awali umma wa Watanzania ulielezwa kwamba CCM inachukua ruzuku ya Shilingi Bilioni Moja kwa mwezi! Narudia: Shilingi Bilioni Moja! Kwa mwaka wanachukua Shilingi Bilioni Kumi na Mbili!

Vigezo gani vimetumika kuipa CCM kiasi chote hicho cha pesa?

Fisadi ni fisadi tu, mla rushwa ni jina!

-> Mwana wa Haki
 
hawa mabint wanao discuss 'mafataki' kama kitu cha kawaida kabisa wamepata wapi moral authority ya kuhoji matumizi ya pesa ya chama?

wangelihoji kwa nini mbowe anapewa pesa kidogo na hivyo wao kupata kidogo ningeliwaelewa zaidi.

SMH
 
Heeee!!!! Nimestuka nimemkumbuka huyu dada mwenye miwani na ki-top cheusi, huyu dada kuna siku alizua sokomoko pale sinza kwenye nyumba ya kulala wageni karibu na delux hotel sinza kijiweni, alikuwa amelala usiku kucha na mteja wake na walikubaliana shs 25,000 per night lakini asubuhi akamchenjia baba wa watu eti amlipe laki moja(100,000) yake huku akipiga makelele kwamba anazurumiwa, masikini kumbe baba wa watu alikuwa kabakiwa na kiasi cha elfu hamsini tu(50,000) na ni mtu na familia yake mkoani dodoma ilibidi amuombe meneja hapo guest house kwamba amuazime balance kwa makubaliano ya kumrejeshea aki-draw kwenye atm zilizopo jirani pale kijiweni huku akiacha brief-case yake rehani ili kuepusha aibu ambayo huyu dada alikuwa anaitengeneza ili alipwe pesa, jamani ndugu zangu mnao hangaika na machangudoa acheni wamejigundulia njia za ajabu za uporaji hasa wakijua ukitishiwa kuumbuliwa utatoa pesa. Hiki ni kisa cha ukweli wanao kaa sinza karibu na kijiweni wanaweza baadhi kwenye jf walishuhudia
 
Hawa wasichana wanafahamika sana katika ile mitaa ya kujiuza usiku hapa jijini Dar. Huyo Dada mwenye mdomo uliorefuka kama samaki chuchunge anaishi Sinza kumekucha. Wapo katika biashara hawana lolote jipya.
Chakla ya JK hiyo................
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom