stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 17,893
- 27,536
Dah ebwana Elli umenfurahisha mkuu,inamaana una hope one day utajaziwa mamia kwa mamia ili na weye ufaidi kama Mswati!Anyways ngoja na mie niache dhambi kuanzia leo.Jamani Mswati kusema ukweli anafaidi saaaaanaaaa tuache utani, ndio maana nikihubiri kuwa Tuache Dhambi ili tukifika tupewe kama hawa mamia kwa mamia lazima watu wakubali tu......huyu mmoja kama Paloma vile
Last edited by a moderator: