Mabinti wanaoikaribia 30 wana kiu kali ya ndoa

Mabinti wanaoikaribia 30 wana kiu kali ya ndoa

Sasa na mimi mbona niko miongoni mwa hao wanaozungumziwa na niko tu kawaida.

But sometimes nawish nikuwe na mpenzi, nimpendeee nimuheshimuu nimpe huba la hela yote LAKINI nikishashiba machalari nikashushia na loshoro woiii nasahau kila kitu najikuta siku imeisha, still single and the circle continue
Nipo hapa
 
Naahidi kukupa penzi matata!!
 
Sababu Ni hi
255626322108_status_606dbb4fbfd04b3f96efef23695e050a.jpg
 
Ni sawa sawa na kukataa kula asubuhi na mchana. Ukiahidi kuwa hautakula maisha yako yote, na ukifika usiku tu mida ya saa nne upo jikoni unapekuwa masufuria kutafuta msosi.
Sa hapo umeongea nini? We umeelewa ulichokiandika kwanza.
 
Wengi wao wanataka matajiri, wengine hawafai kuwa wife,wwngine wanawekaga vigezo vingi i.e urefu,rangi
 
Inategemea "ntu na ntu" binafsi niko na thirty two yangu safi kabisa na hakuna kitu cha kunifanya niwe desperate as long as nakula nashiba na kulala kwa amani.
Hahaha kwani unadhani wanaotaka kuolewa hawali wakashiba na usingizi hawapati..?
 
at 20...Awe tajiri,handisam,mweupe,six pack,mrefu,mcha mungu etc
at 25...Awe tajiri,handisam,mweupe,six pack
at 30...Awe mwanaume tu
at 35..Ilimradi awe anakoroma tu usiku.....
.
.
.
..
.

Acha waendelee kuwaumba, ni simple logic tu wao wanajua “soko” linataka nini lakini bado walio wengi hawabadiliki kuendana na soko, wachache ambao wameshtuka ndio hao tunawachangia harusi wanaolewa kila siku!

Endeleeni kujivika umagharibi mwingiii kisha jua likizama mnaanza kujuta...
 
Back
Top Bottom