Mabinti wanaoikaribia 30 wana kiu kali ya ndoa

Nini kifanyike?
wanatakiwa wajijue wao ni akina nani kabla ya kufikisha 30 na kuanza kulandalanda ,mitaani kutafuta wa kumuoa..wengne machaguo yao ni makubwa na wanatarajia vingi sana kutoka kwa wanaume ndo shida inaanzia hapo
 
Acha waendelee kuwaumba, ni simple logic tu wao wanajua “soko” linataka nini lakini bado walio wengi hawabadiliki kuendana na soko, wachache ambao wameshtuka ndio hao tunawachangia harusi wanaolewa kila siku!

Endeleeni kujivika umagharibi mwingiii kisha jua likizama mnaanza kujuta...
twitter na wasap 24/7 unategemea nn ataolewa nani hapo???mtu hata kupika ni shida mjini hapahap
 
Wapo wanaotuangusha pia, hawajajitambua!
wengne wanajitambua sema ni kujitoa ufahamu tu na kujivika mataji yasiyo ya kwao.....mbwembwe nyingi sana mjini hapa..tena usiombe ajue bar mbil 3 za sinza kazi unayo
 
wanatakiwa wafike sehemu wajue nn wanatakiwa kufanya
1.kukimbilia ndoa tu ili mradi pia inacost wengi san mitaani humu
2.wengi hawajui wanume wanahtaji nn hasa??wnadhani kitanda ndo tiba tosha
3.kueuka vikundi na magroup yasiyona tija Enzi za ujana..mtu wasap anamagroup 20 unategemea nn??hujazungumzia facebook na twitter
4.kujipa thamani inayostahili mbele ya mwanume..sio kila mtu ww twende ndoshida inaanzia hapo
5.kumtanguliza Mungu tu
 
Ma binti ambao wako Dakika za majeruhi wanakaribia kuinusa miaka 30 wana kiu kali ya ndoa, ukiwa nae kimahusiano hata kama mahusiano mabichi yana wiki mbili ataanza kauli za kuhusu ndoa, wako desperate sana. Yuko tayari kukupiga hata limbwata akuteke.
hivimkwanini inakua big deal kwa wanawake wa hiyo miaka kutaka kuolewa kuliko wanaume kuoa??
 
wanatakiwa wafike sehemu wajue nn wanatakiwa kufanya
1.kukimbilia ndoa tu ili mradi pia inacost wengi san mitaani humu
2.wengi hawajui wanume wanahtaji nn hasa??wnadhani kitanda ndo tiba tosha
3.kueuka vikundi na magroup yasiyona tija Enzi za ujana..mtu wasap anamagroup 20 unategemea nn??hujazungumzia facebook na twitter
4.kujipa thamani inayostahili mbele ya mwanume..sio kila mtu ww twende ndoshida inaanzia hapo
5.kumtanguliza Mungu tu

Wengi wakiwa vyuoni wanakua “soko huria” sasa wakisharudi kitaa maisha yakiwapiga ndio wakukute umepigana umeshatoka zako ujilipue nao...

Elimu ya stadi za maisha ilikua inasaidia sana, pia enZi zile ambapo life skills zilikua zinafundishwa kwenye dini au madhehebu ilisaidia! Now days ukishapata ka elimu kako uwe wa kike au kiume unajiona ndio master of the game... tutarajie nini?

Ukifanya utafiti mdogo vijana wa age hizo ndio waliojaa online kwenye social media wakisaka wenza tena wanasema “nataka mtu mweupe aliyeko overseas” wakati wewe uko mtoni kijichi!
 
hivimkwanini inakua big deal kwa wanawake wa hiyo miaka kutaka kuolewa kuliko wanaume kuoa??

Kisaikolojia ni kipindi ambacho unahisi umekua na unataka utambulike “recogition” na mamlaka yako, pia unahisi wewe ni mtu ambaye una sifa zote za kua na mwenza wakati soko haliko hivyo kwahiyo unabaki njia panda huku unajikubali huku hakuna wa kuiona hiyo thamani yako... wabishi wachache na wale wenye stadi za maisha ndio husema “ mimi sijali na sina kilichopungua” najipa raha mwenyewe! Ingawa akifika late 30’s anaanza kujikataaa then kwenye 45 kwenda juu anakubali matokeo na kuukarubisha uzee sasa!
 
Wengi wakiwa vyuoni wanakua “soko huria” sasa wakisharudi kitaa maisha yakiwapiga ndio wakukute umepigana umeshatoka zako ujilipue nao...

Elimu ya stadi za maisha ilikua inasaidia sana, pia enZi zile ambapo life skills zilikua zinafundishwa kwenye dini au madhehebu ilisaidia! Now days ukishapata ka elimu kako uwe wa kike au kiume unajiona ndio master of the game... tutarajie nini?

Ukifanya utafiti mdogo vijana wa age hizo ndio waliojaa online kwenye social media wakisaka wenza tena wanasema “nataka mtu mweupe aliyeko overseas” wakati wewe uko mtoni kijichi!
hahah ni kweli ndgu uko sahh sana ...maonyesho zamani tulijua ni 7 7 tu ila siku hizi mpaka maisha watu tuna maonyesho sana aisee..Mungu anaona mengi sana juu huko aliko
 
Kisaikolojia ni kipindi ambacho unahisi umekua na unataka utambulike “recogition” na mamlaka yako, pia unahisi wewe ni mtu ambaye una sifa zote za kua na mwenza wakati soko haliko hivyo kwahiyo unabaki njia panda huku unajikubali huku hakuna wa kuiona hiyo thamani yako... wabishi wachache na wale wenye stadi za maisha ndio husema “ mimi sijali na sina kilichopungua” najipa raha mwenyewe! Ingawa akifika late 30’s anaanza kujikataaa then kwenye 45 kwenda juu anakubali matokeo na kuukarubisha uzee sasa!
alafu kiukweli hata masingle mothers wanaanziaga hapo kwenye 30s hapo..anakuja kutahamaki jua la jion
 
Inategemea "ntu na ntu" binafsi niko na thirty two yangu safi kabisa na hakuna kitu cha kunifanya niwe desperate as long as nakula nashiba na kulala kwa amani.
Waswahili watakwambia hayo ni matumizi mabaya ya rasilimali ulonayo
 
Inategemea "ntu na ntu" binafsi niko na thirty two yangu safi kabisa na hakuna kitu cha kunifanya niwe desperate as long as nakula nashiba na kulala kwa amani.
Utaniambia hutamani Dyudyu yakudumu?
Sema ukweli wa Moyoni😋
 
Ni wanaume wasio na cha kufanya/kapuku utakuta wamo humu wanasengenya wanawake,
 
at 20...Awe tajiri,handisam,mweupe,six pack,mrefu,mcha mungu etc
at 25...Awe tajiri,handisam,mweupe,six pack
at 30...Awe mwanaume tu
at 35..Ilimradi awe anakoroma tu usiku..... 🤣
.
.
.
..
.
hahhahahahahaa
 
Inategemea "ntu na ntu" binafsi niko na thirty two yangu safi kabisa na hakuna kitu cha kunifanya niwe desperate as long as nakula nashiba na kulala kwa amani.
Bila shaka utakuwa "singo maza" ndo maana ushajikatia tamaa tayar
 
Back
Top Bottom