Mabinti wanaoikaribia 30 wana kiu kali ya ndoa

Mabinti wanaoikaribia 30 wana kiu kali ya ndoa

Hivi kwa nini mabinti, wanawake wanakosa wa kuwaoa, ilhali sensa zinaonyesha wanaume walio juu ya Miaka 18 ni wengi kuliko wanawake.
Nilidhani wanaume ndio wangekosa wanawake wa kuwaoa. Kwasababu supply ni ndogo kuliko demand ya wanawake.
hizi analysis umeokota wapi?
 
Age: 33
Kazi: Fundi Mchundo na Uchekeshaji
Elimu: Diploma
Ukwasi: $1,023
Dini: Kanisa Katoliki la Mitume
Hobby: Vichekesho.
Usafiri: Phoenix bicycle
Makazi: Chumba na Sebule (Nyuki)- Nime-arrange aka kupanga.

Mdada chini ya umri huo tuwasiliane tufaidi huo ukwasi wangu na kujenga familia.
 
Ma binti ambao wako Dakika za majeruhi wanakaribia kuinusa miaka 30 wana kiu kali ya ndoa, ukiwa nae kimahusiano hata kama mahusiano mabichi yana wiki mbili ataanza kauli za kuhusu ndoa, wako desperate sana. Yuko tayari kukupiga hata limbwata akuteke.
Huu ugomvi wa mawe ulioanzisha hakikisha umeficha gari lako kabla hujaingizwa hasara 🤣
 
Inategemea "ntu na ntu" binafsi niko na thirty two yangu safi kabisa na hakuna kitu cha kunifanya niwe desperate as long as nakula nashiba na kulala kwa amani.
Ila huwezi kuniambia huna hope, you must be having a serious relationship by now na Prospect wako.

Mambo ni tofauti kama ukiwa 30 and single huna mtu hata anekupigia simu za kipenzi zile lazma kichwa ipate moto. Hawa ndio hasa wanazungumziwa.
 
Sasa na mimi mbona niko miongoni mwa hao wanaozungumziwa na niko tu kawaida.

But sometimes nawish nikuwe na mpenzi, nimpendeee nimuheshimuu nimpe huba la hela yote LAKINI nikishashiba machalari nikashushia na loshoro woiii nasahau kila kitu najikuta siku imeisha, still single and the circle continue 💃

Af ujue acha utani we mwanamke, unamaanisha ulichokiandika hapa? Do you have a kid/kids?

Fanya fanya upate Mr. bana life is so boring bila stress za mpenzi sometimes. Ila pisi za chuga huwa wagumu gumu flani 🤣🤣🤣 kwa wazee tunaomaindi mambo ya kifilipino huwa mtihani kidogo.
 
Back
Top Bottom