Mabinti wanaoikaribia 30 wana kiu kali ya ndoa

Mabinti wanaoikaribia 30 wana kiu kali ya ndoa

Kipind wakiwa na miaka 22 hv wanavyojenga waume zao vichwani .. . Utadhani walikua wanaumba wao. Mwishowe hukimbilia kwa wakina mwamposa kuomba mume lakini wanashindwa kujua wanaume ni hawahawa wa kitaani. Km unaomba Mungu akupe mume jua pia kwamba masikini, vilema nao wanaomba Mungu awape wake. Kuwa mchaguzi lkn usichague saaana.
 
Af ujue acha utani we mwanamke, unamaanisha ulichokiandika hapa? Do you have a kid/kids?

Fanya fanya upate Mr. bana life is so boring bila stress za mpenzi sometimes. Ila pisi za chuga huwa wagumu gumu flani 🤣🤣🤣 kwa wazee tunaomaindi mambo ya kifilipino huwa mtihani kidogo.
Niko na two kids, afu kila Toto na baba ake 😆😆

Hahaha huku ni chuga sasa sio ufilipino.
 
Ma binti ambao wako Dakika za majeruhi wanakaribia kuinusa miaka 30 wana kiu kali ya ndoa, ukiwa nae kimahusiano hata kama mahusiano mabichi yana wiki mbili ataanza kauli za kuhusu ndoa, wako desperate sana. Yuko tayari kukupiga hata limbwata akuteke.
at 20...Awe tajiri,handisam,mweupe,six pack,mrefu,mcha mungu etc
at 25...Awe tajiri,handisam,mweupe,six pack
at 30...Awe mwanaume tu
at 35..Ilimradi awe anakoroma tu usiku..... 🤣
.
.
.
..
.
 
Inategemea "ntu na ntu" binafsi niko na thirty two yangu safi kabisa na hakuna kitu cha kunifanya niwe desperate as long as nakula nashiba na kulala kwa amani.
Mmmh
 
Inategemea "ntu na ntu" binafsi niko na thirty two yangu safi kabisa na hakuna kitu cha kunifanya niwe desperate as long as nakula nashiba na kulala kwa amani.
huendi mbinguni
 
Inategemea "ntu na ntu" binafsi niko na thirty two yangu safi kabisa na hakuna kitu cha kunifanya niwe desperate as long as nakula nashiba na kulala kwa amani.
Bado hujashtuka wewe ngoja iko siku yako

Every dog has its day
 
Back
Top Bottom