AgnessM
Senior Member
- Aug 1, 2020
- 131
- 113
Hapo Sasa ndo unapokwama,endelea kumsubiri ulienae mkuu takuombea kila la heriSawaa, nipe location nilete mahari chap mrembo
Hapo Sasa ndo unapokwama,endelea kumsubiri ulienae mkuu takuombea kila la heriSawaa, nipe location nilete mahari chap mrembo
Lol, huyu si mpaka afike 30s, lakini wewe upo tayari sasa hivi.Hapo Sasa ndo unapokwama,endelea kumsubiri ulienae mkuu takuombea kila la heri
Mm km huyo tu naitafuta 21 kwanzaLol, huyu si mpaka afike 30s, lakini wewe upo tayari sasa hivi.

Sasa bibie....kama 30s kamaliza starehe zote Sasa huyo ndoa tena kwake ya nn..Mana ndoa starehe30s ndio wazuri kuoa, wamekomaa kiakili, washamaliza starehe zote wapo tayari kujenga maisha na wenza wao,
Me mwenyewe nasubiri tufike 30s ndio tufunge ndoa, sasa hivi acha tule maisha kwanza.
Sasa bibie....kama 30s kamaliza starehe zote Sasa huyo ndoa tena kwake ya nn..Mana ndoa starehe
Na aliyemaliza starehe zote wa nini sasa we ndio unabeba “scrap value”?

ndio c gharama za depreciation zitapunguzwa yan utagarimia kidogo tu
ndio c gharama za depreciation zitapunguzwa yan utagarimia kidogo tu
![]()



we endelea kumsubiri huyo ambae hajamaliza starehe zake utaisoma nambaAaah wapi aiseeee![]()

Ndo apo sasa...na kwanini uchukue scrap Kati uwezo wa kupata mpya unaoNa aliyemaliza starehe zote wa nini sasa we ndio unabeba “scrap value”?
Mkuu..naskia bongo ,hata mwanamke akiwa na 50+ anaitwa binti.Ivi na hao wanaokaribia thirty wanaitwa mabint![]()
kukudhuru kivipi?Hao ni hatari hata kudate nao mkuu mana anakuwa na expectations nyingi sana hata kukudhuru kawaida sana ukionesha kwenda nje ya mstari