Mabinti wanaoikaribia 30 wana kiu kali ya ndoa

Mabinti wanaoikaribia 30 wana kiu kali ya ndoa

Ma binti ambao wako Dakika za majeruhi wanakaribia kuinusa miaka 30 wana kiu kali ya ndoa, ukiwa nae kimahusiano hata kama mahusiano mabichi yana wiki mbili ataanza kauli za kuhusu ndoa, wako desperate sana. Yuko tayari kukupiga hata limbwata akuteke.
Usiwafokee Sasa,hakuna asiependa kuolewa.
 
Inategemea "ntu na ntu" binafsi niko na thirty two yangu safi kabisa na hakuna kitu cha kunifanya niwe desperate as long as nakula nashiba na kulala kwa amani.
Hata hivyo amesema wanaokaribia 30, Sasa wewe ushavuka haumo kwenye kundi analoongelea.
 
Age: 33
Kazi: Fundi Mchundo na Uchekeshaji
Elimu: Diploma
Ukwasi: $1,023
Dini: Kanisa Katoliki la Mitume
Hobby: Vichekesho.
Usafiri: Phoenix bicycle
Makazi: Chumba na Sebule (Nyuki)- Nime-arrange aka kupanga.

Mdada chini ya umri huo tuwasiliane tufaidi huo ukwasi wangu na kujenga familia.
Lipia tangazo mkuu
 
Kuna mwingine nimekutana naye kagonga 34, eti anataka nikajitambulishe kwao , nikae mwez mmoja nikatoe mahali , halafu nitangaze ndoa nimemwangakia nimemjibu kabisa hao waliokuchakata mpka sasa mbn hawakwenda kwenu leo ndio unatala ..... Unikazimie mm .... Nimemwambia Tafuta mjinga ila sio mm ndoa haipatikani kirahic hivyo na joto hili
 
Inategemea "ntu na ntu" binafsi niko na thirty two yangu safi kabisa na hakuna kitu cha kunifanya niwe desperate as long as nakula nashiba na kulala kwa amani.
Kucomment tu hapa inaonyesha jiwe limekupata huko gizani ambapo mwandishi wa uzi alirusha kuelekea upande uliopo jua lilipozama.


Nikiripoti kutoka eneo hili ambapo nimesimama na huyu dada anayejifariji ile hali tayari hali si hali. Ni mimi...... Sam mahela wa ITV.
 
Inategemea "ntu na ntu" binafsi niko na thirty two yangu safi kabisa na hakuna kitu cha kunifanya niwe desperate as long as nakula nashiba na kulala kwa amani.
Dada naomba nichukue hili neno "Amani" nikalifanyie utafiti laboratory.

Maana kuna amani za aina nyingi siku hizi........
 
Inabidi waandamane ijulikane kabisa kama wanahitaji ndoa kuliko kitu kingine ili wanaume wenye nia za kuoa zaidi ya mara moja wajichagulie .
Tuache kuchukua visukwa watoto wapya wamemaliza form six juzi tu hapa, tubebe madudu yana milage 200,000 km. Aseeeeeeeeeeeee mwaisa, sokapohapa.....
 
Damn true and I do not care.
Ha ha ha ha ha ha najua kuna mtu ulimsumbua kipindi fulani now balaa lake unaliona..... Na maringo kushiney.... Hapo utaishia kuwa mdangaji na msagaji tu.. Pole sana
 
Hivi kwa nini mabinti, wanawake wanakosa wa kuwaoa, ilhali sensa zinaonyesha wanaume walio juu ya Miaka 18 ni wengi kuliko wanawake.
Nilidhani wanaume ndio wangekosa wanawake wa kuwaoa. Kwasababu supply ni ndogo kuliko demand ya wanawake.
Wasumbufu sana hawa waliwa bado kwenye mng'ao. Wanataka kila mwanaume awape attention hawataki kutulia.... .....wakishachoka ndio wanatuletea.....


Sasa imagine unatembea na mwanamke ukipita nae sehemu unavimba nae unakuta kuna washkaji Wanakutazama tu namna unavyoringia kitu ambayo wameshamwagia shahawa zao.......
 
Inategemea "ntu na ntu" binafsi niko na thirty two yangu safi kabisa na hakuna kitu cha kunifanya niwe desperate as long as nakula nashiba na kulala kwa amani.
Unaonyesha wazi kabisa huna umri huo, subiri ufikishe umri huo, kama utaandika haya maneno. Wenye umri huo hawasemi maneno hayo.
 
Mawazo yako yangekuwa sawa na wazazi waliokuleta duniani sidhani kama tungepata nafasi ya kuwa na wewe hapa jukwaani.

Mawazo finyu ya single mama ni shehemu ya mfumo unaoigandamiza dunia kuonekana NDOA hazina umuhimu kwa sasa.
Na bado, watajuta sana.... Kwasasa waache waendelee ila ndio tunaelekea huko mbeleni ambapo kuna shida mara mbili ya hii....
 
Sio lazima kila mtu aingie kwenye ndoa.We have a different perspectives of life for me freedom is better than being stuck at home growing a child au sio wadada wa jf kwani mnataka kuolewa?
Ni sawa sawa na kukataa kula asubuhi na mchana. Ukiahidi kuwa hautakula maisha yako yote, na ukifika usiku tu mida ya saa nne upo jikoni unapekuwa masufuria kutafuta msosi.
 
Back
Top Bottom