Mabinti wa sekondari, kwanini mnafanya hivi?

Mabinti wa sekondari, kwanini mnafanya hivi?

Huyo mwalimu ni wewe mwenyewe,
kuna umuhumu wa hicho cheti chako kukaguliwa Mara mbili-mbili.
 
Fundisha watoto hao kama unafundisha watoto wako, acha umende.
 
Hivi mbona mimi nawaona watoto wa sekondari ni wadogo sana siku hizi?!! Wengine mnawatamani huko mlipo ni wakubwa sana au ndio paedophilia?!
Ni watoto kwa kuwaona ukiingia naye ulingon utaona bora hata mkeo inabana..
Vitoto vinabeba watu wazima hatar.
 
Mwalimu..hivi hawa walimu wa kipindi hiki kwanini hawana maadili??..unawezaje kwenda kumfundishia mwanafunzi kwako tena wa kike na wewe ni wa mwanaume??
 
Habari ndugu zangu wana JamiiForums,

Kuna jambo ndugu yangu anakumbana nalo ni hatari sana. Yeye ni mwalimu wa sekondari moja hapa Tanzania ila tatizo kubwa hapa ni mitego anayoipata kutoka kwa watoto wa kike yaani anasema anapata shida sana maana na yeye ni kijana kama 29 years ila anasema hawa mabinti anaowafundisha ni hatari sana kwani wanamtega mpaka basi.

Kuna kipindi anasema anafundisha baadhi ya wasichana wanamuangalia sana na juzi kati kuna wasichana wawili wakamfuata live na kumwambia watamtega mpaka basi sasa jamaa na yeye anapenda totoz.

Kuna siku wakamuliza mwalimu unakaa wapi akawaelekeza jioni yake kwanini wasiende hadi kwake wamevaa vimini huku wamebeba madaftari wakawa wanamuomba mwalimu awaelekeze geography, sasa amekaa nao yaani anaona concentration inapotea tu anajiuliza sijui awafunue tu lakini akawa anawaza tena ikija kugundulika anatembea na wanafunzi anaomba ushauri ili apunguze vipi mazoea na hawa mabinti japo kuwaacha roho inamuuma.
jela 30 miaka. na mikwaju 80
 
Awacharaze viboko hao mabinti kwa tabia yao mbaya! Yeye ni mwalimu anatakiwa kufuata maadili na miiko ya utumishi. Atembeze mboko hadi vibinti vimheshim. Awachape sana, tena sana wataacha tabia yao mbaya!
 
Kwa uzuri gani walionao hawa watoto wa o leval utakuwa mgeni wa mambo hayo vingi vichafu tu, au hukuwachapa wa chuoni
 
Nimekumbuka mbali, enzi hizo niliacha kazi ya ualimu ingawa haikuwa taaluma yangu kwa sababu ya hawa wanafunzi wa kike, imagine uko busy darasani unafundisha unashangaa kitoto kinakukonyeza ukikipa adhabu kinaanza kulialia alafu hapo kipo form three. Nilijiwekea utaratibu kwamba wakati wa vipindi vyangu ni marufuku mwanafunzi yeyote kujipodoa, niliwaambia kabisa sitaki ujinga, na nikiwa nje ya mazingira ya shule ilikua sitaki mwanafunzi wangu aniongeleshe. Alahamdulillah walinielewa
 
Back
Top Bottom