PARADIGM
JF-Expert Member
- Sep 9, 2014
- 2,774
- 1,830
Hofu yake kubwa ni kuja kugundulika??!
Huyo hafai ushauri.
Maana itafika wakati ata-assume hawezi kugundulika. Hapo ndo mwisho wake maana wanafunzi huenda kutambiana na wenzao kwamba washammaliza. Ajiulize hawa wasichana wenye uthubutu wa kumueleza hayo haiwezekani wamfichie siri hata siku moja. Na shule nzima itakuja kujua.