Mabinti wa kibongo na Oman

mwanangu yaani ukoo unakaa kudiscuss kijana wa miaka 20 afanye nini!utamaduni wetu wa kulea vijana hadi miaka 30 ndio wawe na maamuzi yao utatupeleka pabaya sana hasa kwenye ulimwengu huu wenye mengi! Kama hajitegemei kimaamuzi wazazi waamue tu!Maana anayetaka kwenda nae ni rika moja maana yake na yeye haaminiki kimaamuzi vile vile!muda mwingine maamuzi tunayofanya yanaakisi uwezo wetu wa kufikiri pia
 

Thats why ñmelileta hapa najua nitapata strong reasons za kumuelewesha na kulipinga hilo.Thanx mkuu
 
Last edited by a moderator:

Amina!
 
Mkuu,
kwa uzowefu wangu na muda ambao nimeishi UAE. Nimeshuhudia wadada toka
mataifa mbalimbali wakiteseka kwa kinyanyasika sana tena wenye umri mkubw kuliko huyo dogo wako. Hakuna haja ya kumruhu kuja UAE pasipo mpango nadhubuti.
 

nmependa reasoning zako,nashukuru
 
Hamumpendi ndugu yenu, badala kumtafutia future asome mnataka akawe mtumwa wa kupaka watu hina. HUYo rafiki ana mamlaka gani juu ya ndugu yenu?
 
Mkuu,
kwa uzowefu wangu na muda ambao nimeishi UAE. Nimeshuhudia wadada toka
mataifa mbalimbali wakiteseka kwa kinyanyasika sana tena wenye umri mkubw kuliko huyo dogo wako. Hakuna haja ya kumruhu kuja UAE pasipo mpango nadhubuti.

ninahitaji mtu kama wewe unipe facts zitazonisaidia kumuelewesha huyu binti
 
Wahindi ndio wanafanya kazi za maana uarabuni,watu weusi kazi za kishenzi
 

Mkuu...nitakupa honest opinion yangu..nimekutana na dada zetu wa kiafrica wengi mchana wanafanya kazi za kibinadamu usiku wanajiuza..kiukweli kama hakuna muelekeo usimuache aende..mimi naishi dubai na hili nimeliona na naaapa mwanangu wa kike hatoenda nchi za watu kwa mshahara wa milioni au milioni mbili.

Mkuu inaweza kua kuna kupaka hina ila vishawishi ni vingi na maisha ni ghali sana...

Nikiwa kama mtanzania nakuomba muelezedogo wenu anachotaka kimbilia its not worthy it all.
 
kama mnampenda msimruhusu kwenda....kama manmchukia mruhusuni!
 

nashukuru sana mkuu nlihitaji mtu kaama wew unisaidie kuielewesha
 
Kujiuza ni uamuzi wa mtu .

Si kweli kabisa kujiuza si uamzi wa mtu, kuna watu wanajiuza kutoka na situations.Mfano unakuta dada wa kazi anaotokea mkoani na amefika Dar boss wake akaamua kumtelekeza na hana msaada wowote na hajui aanzie wapi na aishie wapi, unakuta msichana kama huyo asipoangukia katika mikono salama basi atajiuza tu tena kwa kulazimishwa kwa mara ya kwanza na mwishowe anazoea na inakuwa biashara yake,nenda gereza la watoto pale nyuma ya DIT karibia na geti la kuingilia Regency Hospita ukisikia habari za wale watoto wa kike waliofungwa pale kwa kosa la kukamatwa wakijiuza usiku utatokwa na machozi
 
Oman si salama kwa mabinti. Afadhali ya UAE pale Sharjah au Dubai yenyewe.
 
Wasiwasi wetu ni kua je itakua kweli ni hina tu au ndo mwamvuli wa kufanyia ufirauni mwingine!

Nyie Kama Familia mmeishachukua hatua gani za kumsaidia ama aendelee na masomo au kumsaidia kupata shughuli ya kufanya ili akose sababu ya kwenda huko Omani?

Mkishindwa, tafteni boyfriend wake mumuombe amshauri kuachana na huo mpango, hawezi kuchomoa kwa my sweet baby wake.
 
waswahili wanasema uoga wako ndo umaskin wako, ila kwa nchi za arabs siwashauri kabisa...i have a vivid example mabinti wengi wa kiafrica ni wahanga wa utumwa ktk nchi hizo. . .kamwe msimpeleke huko kwa vyovyote vile
 
waswahili wanasema uoga wako ndo umaskin wako, ila kwa nchi za arabs siwashauri kabisa...i have a vivid example mabinti wengi wa kiafrica ni wahanga wa utumwa ktk nchi hizo. . .kamwe msimpeleke huko kwa vyovyote vile
 
Naomba Naomba niko chini ya miguu yako in Jesus Name usithubutu kabisa kufanya hivyo, hana skills zozote, hana the right color maana huko wamejaa wafilipino na watu wenye rangi nyeupe, wananyanyaswa kuliko mbwa, mtu yoyote asikudanganye kuwa eti anaenda kufanyakazi ya kupaka hina, anampaka nani? hiyo ni must akifika ananyang'anywa documents, ataishi kwa kuliwa mande na kinyume cha maumbile, hakuna cha ubalozi wala nani anayejishughulisha nao hao, ni jana tu nimesoma rais wa Phillipines akijadili swala hili hata serikali yake imelishindwa, angalia hata wavulana wanaoenda huko kujenga viwanja vya mpira wameshaonekana kunyanyaswa kuliko na FIFA imejaribu kuingilia hawataliweza pesa inatembea na utaratibu wao wa maisha, hata wanawake wao wenyewe wananyanyaswa, watanzania tuacheni ushamba, hicho ni kifo, huyu mwenzake sitashangaa kama kalipwa kuleta watu, mimi binafsi partner wangu msomi kabisa wa kimataifa alikutana nao hao watu na wakampa deal awapate wasichana wenye light colors soko kubwa sana wanaenda kufanya tofauti, humu ndani watanzania tusaidiane, hiyo tenda ya mbunge wa Temeke Abbas Mtemvu tunaichekea kwa kuw watanzania tumejaa unafiki, tuna treat watoto wa wenzetu kama wapita njia mungu atatuhumuku jamani huyu binti afanye kazi ya kupaka hina hapa nyumbani zanzibar kwenye tourism kuna upakaji hina, form four failure atafanya nini huko lugha hajui, bila shaka hata dini yake ni wrong
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…