Mabinti wa Dar: Ukiona Kakusalimia...

Ila binafsi huwa nawashangaa sana wanaochukia kisa hawajasalimiwa yaani mtu anang'aka kabisa eti kwanini haujamsalimia

Bongo kuna tamaduni fulani hivi za ajabu ambazo tunaziona ni ustaarabu lakini kiuhalisia hazina faida wala hasara yoyote hivyo siyo lazima mtu azifanye bali ni hiyari yake tu

Na wewe unayeombwa msaada una uhuru wa kukubali au kukataa kutoa msadaa kama unataka unatoa kama hautaki unaacha siyo hadi uanze kumbashia mtu eti kwanini hajakusalimia

Ulimbukeni huo hayo mambo yangekuwa ya maana sana basi yangetusaidia kupata maendeleo na tungekuwa mbali eti utasikia heshima siku hizi heshima pesa salamu makelele tu
 
Wana dharau sana hawajui kusalimia mtu. Na ukiona kakusalimia jiandae basi kuombwa msaada. Ni lazima ama kapotea anataka umwelekeze au kakwama nauli anataka umesaidie...

Mi huwa nawatazama kwa dharau hivohivo kisha nasepa zangu.
sio wanawake tu hata kwenu kama ni maskini hata kutoa ushauri hawataki wanakuita mleta fujo.
 
yaaani hata humu jf wadada hawanisalimii kabisa ebu mkuje huko pm basi mnisalimie
 
Wana dharau sana hawajui kusalimia mtu. Na ukiona kakusalimia jiandae basi kuombwa msaada. Ni lazima ama kapotea anataka umwelekeze au kakwama nauli anataka umesaidie...

Mi huwa nawatazama kwa dharau hivohivo kisha nasepa zangu.
Nonesence
 
kabisa mkuu kukusalimia ni uwamuzi wa mtu akisalimia akuongezei kitu akinyama akupunguzii kitu
Kiongozi. We unapita husalimii unaenda mbele huko unakwama eti unarudi kwangu? serious?
 
Sawa. Mkikwama msisumbue watu sasa mwendelee kufikiria hizo kodi.
We kama mgeni hapa mjini utapata shida sana,kutafuta heshima nenda huko vijijini utasalimiwa hata kwa kupigiwa magoti,endelea kupenda kusalimiwa tu kuna siku utajikuta mtaroni
 
Wana dharau sana hawajui kusalimia mtu. Na ukiona kakusalimia jiandae basi kuombwa msaada. Ni lazima ama kapotea anataka umwelekeze au kakwama nauli anataka umesaidie...

Mi huwa nawatazama kwa dharau hivohivo kisha nasepa zangu.

Mkuu njoo huku kwetu geita unasalimiwa hata kama ataki kitu chochote salam kwetu ni muhimu ata kama mmeonana nusu saa iliyopita atakusalimu tena saf kabs karibu sana
 
Wana dharau sana hawajui kusalimia mtu. Na ukiona kakusalimia jiandae basi kuombwa msaada. Ni lazima ama kapotea anataka umwelekeze au kakwama nauli anataka umesaidie...

Mi huwa nawatazama kwa dharau hivohivo kisha nasepa zangu.

Unaweza muhukumu mtu bure tu.
Si wote wenye tabia hiyo. Pia kuna wengine wametoka mikoani, na wana maadili ya kusalimia. Sasa akija mjini na akakusalimia husifikiri ni wa DAR.

NB:
Hivi wewe unasalimia watu kweli au unawalaumu wengine tu. Je mabinti tu ndio wenye shida ya kuhitaji msaada?
 
Wanasemaga mtoto wa mjini mkubwa mwenzio, sjui wanaofia salamu ukaanza tabasamu hhhhhhh
 
Back
Top Bottom