Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 24,865
- 89,790
Kila linalofanywa ni la kumuongezea mtu kitu?nadhan kama kumuongezea kitu,anayesalimia ndiye anaweza kuwa kwenye nafasi nzuri ya kuongezewa kitu na si msalimiwaji.
Whatever...salamu ni maamuzi
Kila linalofanywa ni la kumuongezea mtu kitu?nadhan kama kumuongezea kitu,anayesalimia ndiye anaweza kuwa kwenye nafasi nzuri ya kuongezewa kitu na si msalimiwaji.
Mambo hayo mwisho chalinze 😹Huo muda wakuwaza hujasalimiwa unatoa wapi?
Mimi kama baharia ..majirani wenyew tu kuna siku tunapitana 😹 😹Anazingua 😀 😀 😀 😀 😀
Hasa vile visichana vimbaumbau ambavyo vinatembelea mikono badala ya Miguu. Siyo dharau tu bali Wana roho mbaya sana. Dharau zao hutokana na INFERIORITY COMPLEX.Wana dharau sana hawajui kusalimia mtu. Na ukiona kakusalimia jiandae basi kuombwa msaada. Ni lazima ama kapotea anataka umwelekeze au kakwama nauli anataka umesaidie...
Mi huwa nawatazama kwa dharau hivohivo kisha nasepa zangu.