🤗I'm tryna steal your love, I'm guilty of it
I don't give a shit
About who tellin' all our business when I'm killin' it, when I'm feelin it
Utanipa lini zawadi yangu?safi sana we dada ntakupa zawadi
leo nikitoka kazini ntaipitiaUtanipa lini zawadi yangu?
Can't waitleo nikitoka kazini ntaipitia
Sweet felister
AbeeSweet felister
TrueSalamu hajaumbiwa binadamu kimakosa, huleta upendo na heshima.
KaribuAbee
Blow my mind😍I'm tryna steal your love, I'm guilty of it
I don't give a shit
About who tellin' all our business when I'm killin' it, when I'm feelin it
Asante, nakujaKaribu
tunywe juisi ya miwa na minofu pweza.
Hao dawa yao kuwakuna tuuWana dharau sana hawajui kusalimia mtu. Na ukiona kakusalimia jiandae basi kuombwa msaada. Ni lazima ama kapotea anataka umwelekeze au kakwama nauli anataka umesaidie...
Mi huwa nawatazama kwa dharau hivohivo kisha nasepa zangu.
Kila linalofanywa ni la kumuongezea mtu kitu?nadhan kama kumuongezea kitu,anayesalimia ndiye anaweza kuwa kwenye nafasi nzuri ya kuongezewa kitu na si msalimiwaji.Wewe salamu inakuongezea nini?