Mnyamwezi wa Urambo JF-Expert Member Joined Dec 7, 2011 Posts 928 Reaction score 275 Aug 28, 2014 #81 Jawilat said: Wahangaza wenye maumbo kama wacheza mieleka na wabeba vyuma ndo wanaosifiwa hapa!!! Click to expand... Mmh! Au wewe unasemea wahangaza gani bibie, unawajua kweli mabinti wa kihangaza?
Jawilat said: Wahangaza wenye maumbo kama wacheza mieleka na wabeba vyuma ndo wanaosifiwa hapa!!! Click to expand... Mmh! Au wewe unasemea wahangaza gani bibie, unawajua kweli mabinti wa kihangaza?
NAKEMBETWA JF-Expert Member Joined Apr 20, 2012 Posts 3,517 Reaction score 3,139 Aug 28, 2014 #82 another idio.t detected!
K KABAZI JF-Expert Member Joined Apr 19, 2010 Posts 303 Reaction score 11 Aug 28, 2014 #83 ni wazuri kwa maumbile ila mfumo wao wa kifamilia ni MATRILINEAR, kwa hiyo urithi na haki zote za watoto zinakwenda upande wa mwanamke
ni wazuri kwa maumbile ila mfumo wao wa kifamilia ni MATRILINEAR, kwa hiyo urithi na haki zote za watoto zinakwenda upande wa mwanamke
R RONALDO Member Joined Nov 2, 2011 Posts 84 Reaction score 9 Aug 28, 2014 #84 Nisheedah ,mim napita tu