Mtoa mada umeandika takataka,wewe kitu gani kinakufanya uende kusumbuana na watoto wa elfu 2??
Hela zenyewe za mawazo..
Milio mimgi kila siku huku mtafikri mlilazimishwa kuwafata..
Yaani hata mbunye hujaomba tayari umeshaombwa hela. Utaambiwa gesi imeisha, luku hakuna, naumwa, leo sijala yaani sina hela, sina mb siwezi kuingia whatsaap. Sasa imagine ukiomba mbunye nini kinafuata?