Kwanza kwa nini uchati na mabinti wa 2000 wakati wazee wenzako akina Mamndenyi na Miss Natafuta wako humu?
Mzee Mwenzangu Angel Nylon what's up?
Upi huo?Ule uzi mwingine umefutwa kwanini sasa? 😁
Na hiyo ndo ratiba yetu. Me mwanamke alonivutia namwambia kwanza then nachukua namba ili tupange tukio.Lakini ni kama mko 50/50
Hata nyie si huwa mnaomba mchezo mapema? Ama siku hizi mnasubiri subiri?
Upi huo?
Na hiyo ndo ratiba yetu. Me mwanamke alonivutia namwambia kwanza then nachukua namba ili tupange tukio.
Vitoto vya 2000 vinaona jamaa kama anachelewa kuomba game, ndomaana vinapiga mzinga ili uviambie vije vichukue.
Unapigwa miguu yoteSioni tofauti yako na hao mabinti wa 2000, akili makebo (matako) wewe
Na hiyo ndo ratiba yetu. Me mwanamke alonivutia namwambia kwanza then nachukua namba ili tupange tukio.Lakini ni kama mko 50/50
Hata nyie si huwa mnaomba mchezo mapema? Ama siku hizi mnasubiri subiri?
Ndo hali halisiKumbe ni hivi 🙌
Hawa mods wanawanyima haki mashoga. Mashoga pia ni watu 😁Ule wa binti na ushoga anaoutetea
Hawa mods wanawanyima haki mashoga. Mashoga pia ni watu 😁
Ikifika hatua ukakutana text inasema "Nikuambie kitu.." hapo kijana unatakiwa uzime simu kabisa na utoe sim card kabisa ili isije ikajiwasha tena hata kwa bahati mbaya. Maana kituo kinachofuata ni mzinga wa hatari sana kama ule wa gari kugongana uso kwa uso.Kwa sasa hali ilivyo, kufahamiana na mdada, mkapeana namba za simu, hata katika mazingira official ni tatizo. Ukisalimiana naye, mkachat mawili matatu whatsaap, next move, mizinga. Kwanza anaweka chats za joke kidogo, ukirespond tuu, kwisha habari yako.
Yaani hata mbunye hujaomba tayari umeshaombwa hela. Utaambiwa gesi imeisha, luku hakuna, naumwa, leo sijala yaani sina hela, sina mb siwezi kuingia whatsaap. Sasa imagine ukiomba mbunye nini kinafuata?
Mimi formula yangu hakuna shilingi yangu itakayoenda bure aisee,maana ukichukua hela yoyote imeandikwa, 'Fedha halali kwa malipo ya shilingi ......".
Sasa nalipa hizo hela kwa shughuli gani halali? Kiubinadamu huwa nikielewa tatizo lako ni genuine naweza kukusaidia kilicho ndani ya uwezo wangu kama binadamu yeyote ila siyo kwamisingi ya kutafuta fadhila ya kulipwa mbunye baadaye.
Sasa ninyi mnahamishia kila kitu kwenye sex. Bora serikali ihalalishe hii biashara, alafu nyie wadada wekeni menu kabisa. Mfano:
Mkifanya hivi hata serikali itakusanya mapato mengi tuu.
- Kuchat normal (mtuwekeee bei)
- Kuongea kwenye simu (bei)
- Kuchat whatsaap (bei)
- Kuchat romantic (bei)
- phone sex (bei)
- Kunyanduana (bei)
- ......
- .............
Nasema hivi kwa sababu kwa sasa ukishawasiliana na mdada muda kidogo unaanza kuombwa hela, ili hali wewe hata bado hujaomba mbunye.
Nawasilisha. Mapovu ruksa
Dah! Jana nililia sana baada ya kukutana na mwanaume mlani laini kuliko hata binti yangu.Najua unatania 😂
Mashoga sio watu
Ajitwalie kikongwe mmoja atulie nae maana hata competition inakuwa ndogo sana ya wadau kumpokonyaKwanza kwa nini uchati na mabinti wa 2000 wakati wazee wenzako akina Mamndenyi na Miss Natafuta wako humu?
Mzee Mwenzangu Angel Nylon what's up?
samahan my friend, hivi wewe ndo ulileta uzi kuwa unaumwaLakini ni kama mko 50/50
Hata nyie si huwa mnaomba mchezo mapema? Ama siku hizi mnasubiri subiri?