asantekwa niaba ya rose pleas mtake radhi, wala si maneno ya mkosaji , kwa akilizako we unadhani ndoa ni kitu cha kukimbilia au kunganganiza pole we ndi hivyo ndoa sio nishu sana kama wanaume nnavyodhani kwamba ni kitu sooooo special kwa wadada no dear huo wakati ushapita
tafuta maji kaogeshe ubongo wakoRose hayo ni maneno ya mkosaji
IVI KUMBE SIJAOLEWA?Rose hayo ni maneno ya mkosaji
Hivi kuna muoaji kwa siku hizi bila kummega muolewaji??tukubali tukatae hii kitu is big issue waoaji wa bila kumega niwachache sana coz utaskia ndoa lea baada ya miezi 2 mke kajifungua.
tafuta maji kaogeshe ubongo wako
tafuta elimu ya utambuzi
tafuta makusudio ya bnadamu kuwepo dunian
tafuta dhana ya maisha tafuta dhana ya ndoa tafuta dhana ya happness....ukimaliza NIONE.
thank u.Hapo umemwaga busara nzito na sina la kuongezea hata chembe...............................
Unacheza na Harrier au Vitz wanaziba masikio na anayeto harrier hataki kusikia kitukinaitwa salama anataka asililizie pesa yake kwenye utelezi!!no else!!
Kutesti zali muhimu, kina dada wenyewe wanaogopa asijefungiwa mbuzi ndani ya gunia ................ njembaHivi kuna muoaji kwa siku hizi bila kummega muolewaji??tukubali tukatae hii kitu is big issue waoaji wa bila kumega niwachache sana coz utaskia ndoa lea baada ya miezi 2 mke kajifungua.