Wanaume(baadhi)naomba mtambue kuwa na nyie mpo ambao hamjui mnachokitaka,...aki vile,.kuna wanaume wallah wanajua kupata vilivyo vyema na bora tena vya kupendeza machoni na rohoni lakini ajabu anaenda kuishia kwa mbandika makope,mikucha mirefu ova mdomo wa chuchunge,wavaa vikuku,waso staha na kila aina ya umjini,.wakiwatenda ndio mnaanza ooh Lord have mercy nimechezea shilingi choonii mfyuuuu,.too late tena, hata malaika wa mbinguni huwazomea, mnaishia kuwa masingo faza na kila mtoto na *****..
Mnapo pendwa mpendeke na nyie msitubeze sana akina mama,.wakati mkifanyiwa hisani moyoni mnajisemea "we mwache tuu ajifanye mama penda-penda"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]lol una mkulaaaaa weeee unamuacha kama muhogo wa kuchoma,.aiseee God is watching you guys nyie wafanyieni hivyo tuu mashosti zangu,.zamu zinakuja kwa Dada zenu na wanenu,.
Mama mchungaji nimetoka nje ya kanisa leo,.[emoji23][emoji91]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeandika kwa hisia kweli.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] naonaaa...nakutafuta shoo nipooo
Umepanic sister,Unasikitisha sana mleta mada!
Asubuhi yote hii umekalia kuwasema viumbe waliokuleta duniani?
Nani amekudanganya kwamba wanawake wa sasa wanataka kuolewa?
Acha ushamba ndugu yangu.
This generation wanawake tunaolewa na ELIMU NA BIASHARA THATS ALL!
Alafu sisi wenyewe ndiyo tunaoa wanaume!
unisikilize vizuri sana, ndugu yangu Maana hiyo character ya huyo mwanamke unayemzungumzia labda ni dada zako tu!
Kwenda tafuta kazi acha uvivu kijana mdogo!
Ninavyopenda kisamvu ngoja niweke oda kabsaaa kwa muhusika...nwa wqali wa nazi walah.Mimi mwanaume wangu kaniambia nimpikie kisamvu,halafu kesho muhogo,hapa ndo natafuta kisamvu,halafu asiponioa mleta mada utanioa wewe.
Na kila ulimi utamkiri,.Na wewe siku hizi umekuwa mama mchungaji!!!!!!!!
Amakweli kwa Mungu kila goti litapigwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
I can hear vigere gere kwa mbaaali,na harufu ya Biriani, Somebody is seriiously about to get married here!!!Shosti hapana, kuna mahali umeteleza,.ukisema tunaolewa na biashara na elimu utakuwa unakosea acha uasilia ubaki vilevile,sisi tutabaki kuolewa na wao watabaki waoaji,.mwanaume kamili hawezi kuwekwa kinyumba na mwanamke hata siku moja hata awe kapuku vipi,hao wanaoolewa.........basi tuu halafu elimu,biashara,ujasiriamali n.k hizo ni ziada katika maisha ya utafutaji na ni HAKI ya kila mtu kuhangaika/kufanya kazi...
Wanaume wanaghafilika na mambo mengi,.nikuwaombea tuu wakati mwingine,.[emoji4]
Niko unono kabisaaa,sijui weyeHujambo bibie
Na kila ulimi utamkiri,.
[emoji28][emoji28]kadi yako itakuwepo,usijaliiI can hear vigere gere kwa mbaaali,na harufu ya Biriani, Somebody is seriiously about to get married here!!!
Kweli wengine wanabahatikaga haswa!
usinisahau kadi basi
Shosti hapana, kuna mahali umeteleza,.ukisema tunaolewa na biashara na elimu utakuwa unakosea acha uasilia ubaki vilevile,sisi tutabaki kuolewa na wao watabaki waoaji,.mwanaume kamili hawezi kuwekwa kinyumba na mwanamke hata siku moja hata awe kapuku vipi,hao wanaoolewa.........basi tuu halafu elimu,biashara,ujasiriamali n.k hizo ni ziada katika maisha ya utafutaji na ni HAKI ya kila mtu kuhangaika/kufanya kazi...
Wanaume wanaghafilika na mambo mengi,.nikuwaombea tuu wakati mwingine,.[emoji4]
Nimecheka sanaa,sijui kwann,.[emoji23][emoji23][emoji23] we unanzingua sanaaa ujuee..haha ahsante[emoji23]Kila kukicha unazidi kukua na kuwa bora, nakutizama tu.
Bwana azidi usimamia.
Niko unono kabisaaa,sijui weye
Alhamdullilah,.Mie mzima wa afya.
Nimecheka sanaa,sijui kwann,.[emoji23][emoji23][emoji23] we unanzingua sanaaa ujuee..haha ahsante[emoji23]
Ninavyopenda kisamvu ngoja niweke oda kabsaaa kwa muhusika...nwa wqali wa nazi walah.
Asante kunikumbusha
kwani ulikua unaniona kama nani????Na wewe siku hizi umekuwa mama mchungaji!!!!!!!!
Amakweli kwa Mungu kila goti litapigwa.