Mabinti msiojitambua amkeni

Mabinti msiojitambua amkeni

Nadhan hujaipata point ya jamaa. Shida sio kujiremba. Mwanamke kupendeza sawa.
Lakin anachojaribu ku highlight ni wadada wanao.tumia muda mwingi kujiremba, na kazi hataki, kutwa vibarazani, ukimpa pesa ya maana ni matanuzi hafanyi jambo la maana kwa ajili ya future kama wapenzi. Yeye anajali muonekano kuliko uhalisia.

Si wengine wanaitwa slay queens ambao 86% Wanaishi fb na instagram , lakin reality wanaishi tandale. Na hawataki kujikomboa.
Fikra zako nisawa na Vlad , toka nmemjua huyu kijana ,Kanipa nguvu na moyo mkubwa wa kufanya. Na kwasasa Akili yangu Haipo tena katika kutegemea Pesa ya Mwanamme.
 
Kuchagua ni kupanga. Kama unamdate wa hivyo unashindwa nini kumuoa? Mi nadhani mngeacha kabisa kuwadate wa hivyo tujue hamtaki kabisa wa hivyo. Mwisho wa siku ukifika wakati wa kuoa unaoa mwanamke asiefanya hayo unarudi tena kwa slay queen kutumbua nae hela zako. Wanaume ba sisi tulishawasoma hamjuagi nini mnataka. Mnaoa mwanamke ana sifa zote mnazoandika ila mnarudi kumcheat na slay queens.
Yap maana kizazi cha sasa kimeharibika , tofauti na kizazi chetu, vijana wa sasa wanadekezwa na si wavumilivu.
Lazima ni mjue mwenzangu anatabia gani ndio nijiridhiridhishe kuwa nwezanishi nae..

Nisije oa kumbe nimeoa bomu, mwanamke niliye mtarajia namkuta kutwa anashinda kwenye tv, saloon na yeye, umbea yeye, vibarazani yeye, fb na insta yeye hana akili ya maisha.. sitovumilia.
 
Nikufulie...nikupikie....nikuoshee vyombo??? Mahari umelipa???
ukisema hvyo unakosea. so na sisi tukiwauliza tuwape hela ya matunzo tuwanunulie nguo viatu mawigi rasta chupi na simu.. nkiuliza tuwafanyie hivi vyote kwani nyie tumewaoa? ntakua nakosea? c utajibu ni wajibu wetu sisi wanaume kuwafanyia hivyo..
so na nyie wajibu wenu ni upi kama sio kufanya hivyo vitu vidogovidogo ambavyo haviwahitaji mtumie hela kama sisi?

muwage mnafikiria kidogo. haya lakini.
 
Na wale wanaofanya yote hayo ya kufua, kupika,kuosha vyombo n.k lakini Mpango wa kuwekwa ndani haupo.......
 
Na wale wanaofanya yote hayo ya kufua, kupika,kuosha vyombo n.k lakini Mpango wa kuwekwa ndani haupo.......
Kuna wanaume ambao wanajiheshimu..

Shida ni kwamba mambo yanakuwa kinyume.
Wanaume watulivu wanaambulia ma-SQ...(Slay Queens)

Na wanawake wanaojitunza huwa wanaambulia ma- PB...(Play Boys)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukisema hvyo unakosea. so na sisi tukiwauliza tuwape hela ya matunzo tuwanunulie nguo viatu mawigi rasta chupi na simu.. nkiuliza tuwafanyie hivi vyote kwani nyie tumewaoa? ntakua nakosea? c utajibu ni wajibu wetu sisi wanaume kuwafanyia hivyo..
so na nyie wajibu wenu ni upi kama sio kufanya hivyo vitu vidogovidogo ambavyo haviwahitaji mtumie hela kama sisi?

muwage mnafikiria kidogo. haya lakini.
Unavyoomba papuchi umeoa??? Unaepaswa kumwomba papuchi ni mkeo tu na si vinginevyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapo waliofua na kupikaaaa weeee plus kuchukua mikopo kabisa kujenga hadi ukweni...wakaishia kuachwa...unalia misiba miwili...kuachwa na nguvu uliyotumia kujifanya mke mwema...nasisitiza girlfriend sio mke na sio jukumu lake kukupikia au kukufulia...na pia boyfriend sio mume sio jukumu lake kukulipia kodi au kukuhudumia...tusibebeshane mizigo isiyotuhusu...ndo maana wanaume hawaoi sababu huduma zote wanazipata...usiseme sijakwambia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom