Mabinti msiojitambua amkeni

Mabinti msiojitambua amkeni

Unasikitisha sana mleta mada!
Asubuhi yote hii umekalia kuwasema viumbe waliokuleta duniani?
Nani amekudanganya kwamba wanawake wa sasa wanataka kuolewa?
Acha ushamba ndugu yangu.
This generation wanawake tunaolewa na ELIMU NA BIASHARA THATS ALL!
Alafu sisi wenyewe ndiyo tunaoa wanaume!
unisikilize vizuri sana, ndugu yangu Maana hiyo character ya huyo mwanamke unayemzungumzia labda ni dada zako tu!
Kwenda tafuta kazi acha uvivu kijana mdogo!
Nikurekebishe tu ISIS kwamba wanawake ndio mnaoa, labda mnaoa wanaume wa dar, mario, walae kama.wa dada fey.
Mwanaume anaejielewa kamwe jawezi kuwa chini ya mwanamke.. mwanaume kamili anaelewa dhamani yake na si legevu hata siku moja.

Elimu na biashara hizo ni means za kutafuta life, kila mtu anazo means zake..
Unaweza kuwa umeongea ww kama ww.. lakin asilimi kubwa ya wadada wa sasa ndio.maisha yao haya, kudanga ndio backbone ya uchumi wao. Si wanawake wote wako hivyo.. wapo wanaojielewa.. ila ni wachache.
 
Unasikitisha sana mleta mada!
Asubuhi yote hii umekalia kuwasema viumbe waliokuleta duniani?
Nani amekudanganya kwamba wanawake wa sasa wanataka kuolewa?
Acha ushamba ndugu yangu.
This generation wanawake tunaolewa na ELIMU NA BIASHARA THATS ALL!
Alafu sisi wenyewe ndiyo tunaoa wanaume!
unisikilize vizuri sana, ndugu yangu Maana hiyo character ya huyo mwanamke unayemzungumzia labda ni dada zako tu!
Kwenda tafuta kazi acha uvivu kijana mdogo!
Acha fix wewe hakuna mwanamke ambaye hana dream ya kuolewa
 
Mtoa mada nadhani unawaongelewa ma slay queens wa mjini.
Hawa ambao kutwa wanakesha saloon, na vibarazani,kazi yake kuu ni kuweka picha fb, kudanga ndio wimbo wa taifa.

Wadada wa design hiyo hawafai hata kwa mchuzi.


So wanaume wenzangu muwe makini na wanawake mnaowachagua, kamwe usije chagua slay queen ukadhan atabadilika na kuwa wife material NO haitotokea.

Kuna wanawake classic, wametulia, mwanamke anakuombea , ukiishiwa anakusaidia. Mwanamke anakujali all the time..
Mwanamke mtafutaji.. hata ukimpa hela unasikia amani moyoni..

Nazungumzia akina dada dhabiti.

Usichague slay queen ukidhani atadumu, maisha yako
 
Mimi mwanaume wangu kaniambia nimpikie kisamvu,halafu kesho muhogo,hapa ndo natafuta kisamvu,halafu asiponioa mleta mada utanioa wewe.
Karibu mlango ipo wazi 😉😉🙂🙂😀😀
 
Unasikitisha sana mleta mada!
Asubuhi yote hii umekalia kuwasema viumbe waliokuleta duniani?
Nani amekudanganya kwamba wanawake wa sasa wanataka kuolewa?
Acha ushamba ndugu yangu.
This generation wanawake tunaolewa na ELIMU NA BIASHARA THATS ALL!
Alafu sisi wenyewe ndiyo tunaoa wanaume!
unisikilize vizuri sana, ndugu yangu Maana hiyo character ya huyo mwanamke unayemzungumzia labda ni dada zako tu!
Kwenda tafuta kazi acha uvivu kijana mdogo!
Shosti hapana, kuna mahali umeteleza,.ukisema tunaolewa na biashara na elimu utakuwa unakosea acha uasilia ubaki vilevile,sisi tutabaki kuolewa na wao watabaki waoaji,.mwanaume kamili hawezi kuwekwa kinyumba na mwanamke hata siku moja hata awe kapuku vipi,hao wanaoolewa.........basi tuu halafu elimu,biashara,ujasiriamali n.k hizo ni ziada katika maisha ya utafutaji na ni HAKI ya kila mtu kuhangaika/kufanya kazi...

Wanaume wanaghafilika na mambo mengi,.nikuwaombea tuu wakati mwingine,.[emoji4]
 
Mtoa mada nadhani unawaongelewa ma slay queens wa mjini.
Hawa ambao kutwa wanakesha saloon, na vibarazani,kazi yake kuu ni kuweka picha fb, kudanga ndio wimbo wa taifa.

Wadada wa design hiyo hawafai hata kwa mchuzi.


So wanaume wenzangu muwe makini na wanawake mnaowachagua, kamwe usije chagua slay queen ukadhan atabadilika na kuwa wife material NO haitotokea.

Kuna wanawake classic, wametulia, mwanamke anakuombea , ukiishiwa anakusaidia. Mwanamke anakujali all the time..
Mwanamke mtafutaji.. hata ukimpa hela unasikia amani moyoni..

Nazungumzia akina dada dhabiti.

Usichague slay queen ukidhani atadumu, maisha yako
Nimekuelewa sana mkuu... ila wadada wengi hawajielewi hilo liko wazi kabisa although wapo wanaojielewa na wanaelewa wanahitaji nini...
 
Shosti hapana, kuna mahali umeteleza,.ukisema tunaolewa na biashara na elimu utakuwa unakosea acha uasilia ubaki vilevile,sisi tutabaki kuolewa na wao watabaki waoaji,.mwanaume kamili hawezi kuwekwa kinyumba na mwanamke hata siku moja hata awe kapuku vipi,hao wanaoolewa.........basi tuu halafu elimu,biashara,ujasiriamali n.k hizo ni ziada katika maisha ya utafutaji na ni HAKI ya kila mtu kuhangaika/kufanya kazi...

Wanaume wanaghafilika na mambo mengi,.nikuwaombea tuu wakati mwingine,.[emoji4]
[HASHTAG]#mumu[/HASHTAG] bonge la point... ahsanteeeeeee
 
Shosti hapana, kuna mahali umeteleza,.ukisema tunaolewa na biashara na elimu utakuwa unakosea acha uasilia ubaki vilevile,sisi tutabaki kuolewa na wao watabaki waoaji,.mwanaume kamili hawezi kuwekwa kinyumba na mwanamke hata siku moja hata awe kapuku vipi,hao wanaoolewa.........basi tuu halafu elimu,biashara,ujasiriamali n.k hizo ni ziada katika maisha ya utafutaji na ni HAKI ya kila mtu kuhangaika/kufanya kazi...

Wanaume wanaghafilika na mambo mengi,.nikuwaombea tuu wakati mwingine,.[emoji4]
Mawazo yako leo yamenifanya niwe nagonga like... una hekima nadhani unavitrait vya mwanamke wa mithali 31
 
Back
Top Bottom