Kwa hizo juhudi lazima akuoe ha hanimepata kilichotwangwa,na kunde sijui mbaazi shoga kinaungwa na karanga na nazi sasa ole wake asiniwowe
Amina, ubarikiweHahaha nairudi tuu,.nilisha ikamilisha[emoji38]
Eimeen!!!Amina, ubarikiwe
Kama hamtaki kuolelewa mbona kila siku mnashinda makanisani na miskitin kuombewa mpate wachumba au waumeUnasikitisha sana mleta mada!
Asubuhi yote hii umekalia kuwasema viumbe waliokuleta duniani?
Nani amekudanganya kwamba wanawake wa sasa wanataka kuolewa?
Acha ushamba ndugu yangu.
This generation wanawake tunaolewa na ELIMU NA BIASHARA THATS ALL!
Alafu sisi wenyewe ndiyo tunaoa wanaume!
unisikilize vizuri sana, ndugu yangu Maana hiyo character ya huyo mwanamke unayemzungumzia labda ni dada zako tu!
Kwenda tafuta kazi acha uvivu kijana mdogo!
Wapo humu humu jf ?Hadi kwa sura
We mhache aropoke tu eti wanawqke wa sasa hawataki kuolewa nani kakudanganya labba ww pekee ako ndo hutaki kuolewaAcha fix wewe hakuna mwanamke ambaye hana dream ya kuolewa
Mwanamke yoyote mwenye busara atakwambia “Mwanamke hawezi kushindana na mwanaume hata siku moja”.Nikurekebishe tu ISIS kwamba wanawake ndio mnaoa, labda mnaoa wanaume wa dar, mario, walae kama.wa dada fey.
Mwanaume anaejielewa kamwe jawezi kuwa chini ya mwanamke.. mwanaume kamili anaelewa dhamani yake na si legevu hata siku moja.
Elimu na biashara hizo ni means za kutafuta life, kila mtu anazo means zake..
Unaweza kuwa umeongea ww kama ww.. lakin asilimi kubwa ya wadada wa sasa ndio.maisha yao haya, kudanga ndio backbone ya uchumi wao. Si wanawake wote wako hivyo.. wapo wanaojielewa.. ila ni wachache.
Mkuu unajuaje yaliyo mioyoni mwa wanawake ?Acha fix wewe hakuna mwanamke ambaye hana dream ya kuolewa
Sawa kabisa mama mchungaj mtyombe jmn maana wanawake wenyewe na siku hiz kwanza mpo wengie hilo mlijue pili mmekuwa rahisi kutongozeka 3 mmejaaliwa sana yaani kila akipita ni mashalaaah kaumbika hatar utazan kashushwa kutoka mbinguni sasa hata kama nyie mngekuwa wanaume msingewaacha buana.Shosti hapana, kuna mahali umeteleza,.ukisema tunaolewa na biashara na elimu utakuwa unakosea acha uasilia ubaki vilevile,sisi tutabaki kuolewa na wao watabaki waoaji,.mwanaume kamili hawezi kuwekwa kinyumba na mwanamke hata siku moja hata awe kapuku vipi,hao wanaoolewa.........basi tuu halafu elimu,biashara,ujasiriamali n.k hizo ni ziada katika maisha ya utafutaji na ni HAKI ya kila mtu kuhangaika/kufanya kazi...
Wanaume wanaghafilika na mambo mengi,.nikuwaombea tuu wakati mwingine,.[emoji4]
You are heaven sent my dear ccyShosti hapana, kuna mahali umeteleza,.ukisema tunaolewa na biashara na elimu utakuwa unakosea acha uasilia ubaki vilevile,sisi tutabaki kuolewa na wao watabaki waoaji,.mwanaume kamili hawezi kuwekwa kinyumba na mwanamke hata siku moja hata awe kapuku vipi,hao wanaoolewa.........basi tuu halafu elimu,biashara,ujasiriamali n.k hizo ni ziada katika maisha ya utafutaji na ni HAKI ya kila mtu kuhangaika/kufanya kazi...
Wanaume wanaghafilika na mambo mengi,.nikuwaombea tuu wakati mwingine,.[emoji4]
Letw nile wanguhaya ndo nakuna nazi hapa za kisamvu
Hii ni point mkuu, nina ndugu yangu kashalizwa na wanawake mara tatu kwa kukombewa vitu vyake vya ndani na tatizo lake ni muokotaji wa vichangu vya pale Meeda Sinza yaani yeye akiona Dem kajikoki malipshine na vipedo ndio anaona huyo ndie mwanamke wa kisasa basi kila siku anaanza upya Maishalakini ajabu anaenda kuishia kwa mbandika makope,mikucha mirefu ova mdomo wa chuchunge,wavaa vikuku,waso staha na kila aina ya umjini,