mchawi wa kusini
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 833
- 933
Mwenye kusikia atasikia mwenye kuelewa ataelewa
kwani ulikua unaniona kama nani????
hajawahi kunitupaHaya mkuu, kazana Bwana hatokutupa.
hajawahi kunitupa
Aendelee kupata tabu mpaka akili mkae sawa. Maana anaokota vi slay queens huko mtaani sababu wana shine sijui nadhani ndio wife material. Basi aendeleee kuumizwa hivyo hivyoHii ni point mkuu, nina ndugu yangu kashalizwa na wanawake mara tatu kwa kukombewa vitu vyake vya ndani na tatizo lake ni muokotaji wa vichangu vya pale Meeda Sinza yaani yeye akiona Dem kajikoki malipshine na vipedo ndio anaona huyo ndie mwanamke wa kisasa basi kila siku anaanza upya Maisha
Hahahaha itabidi ufanye hivyo...usije tia aibu kama mimipole shogangu mimi itabidi siku ikifika nikumbuke hii comment yako nachojua kisamvu kinapikwa siku 2 kikichemshwa leo kiungwe kesho kikibaki tena ndo kinanoga zaidi
Huwa nafarijika nikimuona Dem katulia anapiga mishe zake ndogondogo tu labda kuuza maandazi au genge huyo ndio mwanamke anaejua maisha ambae unaweza ukapanga nae plan za maisha sio hawa wanaojifanya wajanja yuko radhi anunue mapambo ya Laki lkn sio kujiendeleza kwa biashara ndogondogoAendelee kupata tabu mpaka akili mkae sawa. Maana anaokota vi slay queens huko mtaani sababu wana shine sijui nadhani ndio wife material. Basi aendeleee kuumizwa hivyo hivyo
Huwa nafarijika nikimuona Dem katulia anapiga mishe zake ndogondogo tu labda kuuza maandazi au genge huyo ndio mwanamke anaejua maisha ambae unaweza ukapanga nae plan za maisha sio hawa wanaojifanya wajanja yuko radhi anunue mapambo ya Laki lkn sio kujiendeleza kwa biashara ndogondogo
mdogo wangu utakuja kunsaidia kupika jihogo la nazi na papa ili dadako nioleweHalafu mbona mama zetu walikua hawafanyi hayo yote na walikua wanaolewa? Au ndo utamaduni wa siku hizi mwanamke ajigeuze mke kabla hajaolewa?
Usijali kabisa dadangu. Tunapika jihogo la nazi ile tukishatia tui bubu likikaribia kukaukia tunatia jipapa kwa juu. Shemeji akila lazima kesho atume washenga nyumbanimdogo wangu utakuja kunsaidia kupika jihogo la nazi na papa ili dadako niolewe
Umemaliza mr.abuu. mwenye macho aambiwi tazamaHuwa nafarijika nikimuona Dem katulia anapiga mishe zake ndogondogo tu labda kuuza maandazi au genge huyo ndio mwanamke anaejua maisha ambae unaweza ukapanga nae plan za maisha sio hawa wanaojifanya wajanja yuko radhi anunue mapambo ya Laki lkn sio kujiendeleza kwa biashara ndogondogo
Nadhan hujaipata point ya jamaa. Shida sio kujiremba. Mwanamke kupendeza sawa.Kwahiyo wanaosoma au walioajiriwa maofisini hawajui maisha? Na nini kibaya kwa mwanamke kujiremba kama anajiremba kwa hela yake? Hata wanaume mnatofautiana aina ya wanawake mnataka. Mwingine hata mwanamke asilijue akimpenda kampenda. Maisha ya mahusiano hayana formula linapokuja suala la kumpata mwenza wa maisha
Labda ndio athari za mtandio wazi (globalization)Halafu mbona mama zetu walikua hawafanyi hayo yote na walikua wanaolewa? Au ndo utamaduni wa siku hizi mwanamke ajigeuze mke kabla hajaolewa?
Nadhan hujaipata point ya jamaa. Shida sio kujiremba. Mwanamke kupendeza sawa.
Lakin anachojaribu ku highlight ni wadada wanao.tumia muda mwingi kujiremba, na kazi hataki, kutwa vibarazani, ukimpa pesa ya maana ni matanuzi hafanyi jambo la maana kwa ajili ya future kama wapenzi. Yeye anajali muonekano kuliko uhalisia.
Si wengine wanaitwa slay queens ambao 86% Wanaishi fb na instagram , lakin reality wanaishi tandale. Na hawataki kujikomboa.
Kweli athari za mitandao. Enzi hizo baba na mama wanajuana siku ya ndoa sasa haya malalamiko ya mwanamke hapiki haoshi vyombo hafui yangetoka wapi? Watu mnajuana baada ya kuoana ila siku hizi tunataka kujuana ndo tuoaneLabda ndio athari za mtandio wazi (globalization)
Si wote tunapenda slay queens. Na mitazamo imetofautiana jamii na jamii. Linapokuja suala la kuoa, nikwambie tu dada angu mwanaume anakuwa makini kuliko unavyodhani.Hapa nimekuelewa. Ila kuchaagua ni kupanga mkuu. Kila mwanaume ana choice ya wanawake wake. Kuna wanaowapenda hao slay queen na wanaoa wanaweka ndani na bado wanawapa kila kitu na hawalalamiki hata. Nadhani kila mtu angechukua anaemfaa haya malalamiko yangeisha maana ungekutana na kile kile unachokitaka. Ila kaka zetu mnataka wanawake hao mnaowasema ila kuta mnakimbizana ma slay queens. Yakibuma ndo mnarudi kulia lia ooh slay queen hivi slay queen vile kumbe ulikua na nafasi ya kumuendea yule unaeona anafaa ila kwa kuwa mnapenda hao slay queens mnataka kujaribu ili kuwalinganisha na hao wengine mnaotaka kuwaoa kama wanalingana vigezo ukiacha kuwa slay queena2
Yap maana kizazi cha sasa kimeharibika , tofauti na kizazi chetu, vijana wa sasa wanadekezwa na si wavumilivu.Kweli athari za mitandao. Enzi hizo baba na mama wanajuana siku ya ndoa sasa haya malalamiko ya mwanamke hapiki haoshi vyombo hafui yangetoka wapi? Watu mnajuana baada ya kuoana ila siku hizi tunataka kujuana ndo tuoane
Shem wangu huyo !! Vlad anakusalimia sana.Yap maana kizazi cha sasa kimeharibika , tofauti na kizazi chetu, vijana wa sasa wanadekezwa na si wavumilivu.
Lazima ni mjue mwenzangu anatabia gani ndio nijiridhiridhishe kuwa nwezanishi nae..
Nisije oa kumbe nimeoa bomu, mwanamke niliye mtarajia namkuta kutwa anashinda kwenye tv, saloon na yeye, umbea yeye, vibarazani yeye, fb na insta yeye hana akili ya maisha.. sitovumilia.