Yes I am...
This is JF.........haiwezekani wote tuwe tunafikiria sawa........
wengine wameenda beyond.....let say ME nimejiuliza mtoa mada
ametumia criteria gani kujua kuwa yule dada anadanganya!!!!!!
kusikiliza tu maongezi then una jump into CONCLUSION!!!!!!!!!!!!!!!!
mtoto yuko kama kanjibhai what if huyo alokuwa anaongea nae pia ni Kanjibhai........
inawezekana alikuwa na nia njema ila uwasilishaji wake namna ulivyo lazima mtu uwasilishe concern zako!!!
Thanks for showing true color, infact the sredi is coming soon! ! Naona umeamua kuwa mkali may be the way nilivuoexpress it anyway nimesomeka kiaina! !Kwanza, nikupe hongera nikupe hongera kwa kujaaliwa mtoto!
Pili, nadhani ungandaa thread yako ili kuleta mada ilokaa vizuri, hapa umeonekana kuletavmambo ya watu usowafahamu hata chembe, it's not health broda...
Ila pongezi sana kwa kujaaliwa mtoto!
Sizinga mada yako iko relevant ila jinsi ulivyoileta... inakera! Iko kimipasho zaidi, kusikiliza maongezi yasiyokuhusu kwenye daladala au kusoma conversation za watu si busara!
wanaume mjiamini bana, mkiwa mnasex mnaona raha utamu ila matokeo mnayakataa. mtakuwa mnakataa damu zenu mpaka lini? kama huna mpango wa mtoto na unahisi kubambikiwa mimba si mtumie kinga!
Sista una mwaga povu mbaya, mbona mada nshaeleza kwamba akiongea na simu, simply, sasa criteria gani unaitaka wakati this is just phone conversation! ! Labda una stress bidada!
Habari zenu MMU!
Jana nipo ndani ya daladala nyerere road-kariakoo kulikuwa na dada mmoja nimekaa nae kabeba mtoto mapajani huku anabofyabofya simu, baada ya dakika chache akawa anaongea na mwenzake kwa simu, ingawa maongezi yake yalikuwa yanakatikakatika kutokana na uhaba wa vocha na networks lakini niliweza kuunganisha some dots.
Kiufupi yule dada akimzungumzia mshkaji wake akisema "Unajua mtu mwenyewe simuelewi ameamua kukimbia, eti anasema huyu mtoto sio wake, kama juzi alikuja akaniomba ela elfu10nikampa, sasa yeye badala ya kukaa tukaongea ye anaamua kukimbia! !".
Kwa ufupi hiyo ndio ilikuwa main contents ingawa simu ilikuwa inakatakata. sasa mimi nikaamua nigeuke vizuri ili kumwangalia yule bebito, aisee ni kama ana miezi 4 au 5 hivi, kwanza mtoto ana kiwalaza kichwani, halafu keupe flani na nywele zake ni half-partial kanjibhai! ! Dah nouma sana!! Yani hata ningekuwa mie ningetoka nduki aisee! !
Mi nina imani ni mama mwenyewe ndo anajua siri ya baba wa mtoto, sasa kwanini asiwe mkweli? Na hata yule dada theway akivyoongea, ni full changalamacho! !
Yaonyesha watoto wengi ni wa kubambikiwa kwenye familia zetu yani! !
Thanks for showing true color, infact the sredi is coming soon! ! Naona umeamua kuwa mkali may be the way nilivuoexpress it anyway nimesomeka kiaina! !
Mia mia! !
Mtot kakosa nini sasa........si mnaona mawazo yenu looh.....
Inasikitisha sana I hope ur not SERIOUS why hurting the KID.........
he is Innocent he doesnt even know what the hell is going on in the WORLD!!!!!!!
REALLY U SURPRISED ME!!!
Ndio mumpashe dume mwenzenu.
Ataja valishwa dera.