promiseme
JF-Expert Member
- Mar 15, 2010
- 2,706
- 934
Hayo ndio uloyafata kwenye Dala dala eeh?Habari zenu MMU!
Jana nipo ndani ya daladala nyerere road-kariakoo kulikuwa na dada mmoja nimekaa nae kabeba mtoto mapajani huku anabofyabofya simu, baada ya dakika chache akawa anaongea na mwenzake kwa simu, ingawa maongezi yake yalikuwa yanakatikakatika kutokana na uhaba wa vocha na networks lakini niliweza kuunganisha some dots.
Kiufupi yule dada akimzungumzia mshkaji wake akisema "Unajua mtu mwenyewe simuelewi ameamua kukimbia, eti anasema huyu mtoto sio wake, kama juzi alikuja akaniomba ela elfu10nikampa, sasa yeye badala ya kukaa tukaongea ye anaamua kukimbia! !".
Kwa ufupi hiyo ndio ilikuwa main contents ingawa simu ilikuwa inakatakata. sasa mimi nikaamua nigeuke vizuri ili kumwangalia yule bebito, aisee ni kama ana miezi 4 au 5 hivi, kwanza mtoto ana kiwalaza kichwani, halafu keupe flani na nywele zake ni half-partial kanjibhai! ! Dah nouma sana!! Yani hata ningekuwa mie ningetoka nduki aisee! !
Mi nina imani ni mama mwenyewe ndo anajua siri ya baba wa mtoto, sasa kwanini asiwe mkweli? Na hata yule dada theway akivyoongea, ni full changalamacho! !
Yaonyesha watoto wengi ni wa kubambikiwa kwenye familia zetu yani! !
kuchunguza nani anaongea nini ukaunganisha dots,looh asara yako mkodombwe...