Mabinti hembu kuweni wakweli kuhusu watoto! !

Sizinga

Platinum Member
Joined
Oct 30, 2007
Posts
9,541
Reaction score
7,372
Habari zenu MMU!
Jana nipo ndani ya daladala nyerere road-kariakoo kulikuwa na dada mmoja nimekaa nae kabeba mtoto mapajani huku anabofyabofya simu, baada ya dakika chache akawa anaongea na mwenzake kwa simu, ingawa maongezi yake yalikuwa yanakatikakatika kutokana na uhaba wa vocha na networks lakini niliweza kuunganisha some dots.

Kiufupi yule dada akimzungumzia mshkaji wake akisema "Unajua mtu mwenyewe simuelewi ameamua kukimbia, eti anasema huyu mtoto sio wake, kama juzi alikuja akaniomba ela elfu10nikampa, sasa yeye badala ya kukaa tukaongea ye anaamua kukimbia! !".

Kwa ufupi hiyo ndio ilikuwa main contents ingawa simu ilikuwa inakatakata. sasa mimi nikaamua nigeuke vizuri ili kumwangalia yule bebito, aisee ni kama ana miezi 4 au 5 hivi, kwanza mtoto ana kiwalaza kichwani, halafu keupe flani na nywele zake ni half-partial kanjibhai! ! Dah nouma sana!! Yani hata ningekuwa mie ningetoka nduki aisee! !

Mi nina imani ni mama mwenyewe ndo anajua siri ya baba wa mtoto, sasa kwanini asiwe mkweli? Na hata yule dada theway akivyoongea, ni full changalamacho! !

Yaonyesha watoto wengi ni wa kubambikiwa kwenye familia zetu yani! !
 
Wee kimbia ila mwisho wa siku usirudi tena hapa kulalamika kuwa mtoto ulomkimbia kafanana na wewe unataka uanze kumlea.
 
Ndio mumpashe dume mwenzenu.
Ataja valishwa dera.

Nyie endeleeni kuleta madharau yenu, lakin ikifikia inshu nzito kama ya kuhusu mtoto naanza kuitunza mimba mpaka unajifungua, nimegharamika tena kwa upasuaji halafu dakika ya mwisho nafonalise mtoto siwa kwangu, nachinja! ! SHingo ni halali yangu pambav zenu! !
 
Hawa ndo ukikaa nao kiti kimoja wakiona unachat na mtu hawaishi kuangalia sms zako... yani saivi wanaume tumejaa maneno kuliko hata wanawake!
Hehehe uwiiii sema wewe mwanaume tukisema wanawake tuna midomo mirefu!
 
Wee kimbia ila mwisho wa siku usirudi tena hapa kulalamika kuwa mtoto ulomkimbia kafanana na wewe unataka uanze kumlea.

Na hasa asipojaliwa mtoto huko alikoenda kuoa....
 
Hawa ndo ukikaa nao kiti kimoja wakiona unachat na mtu hawaishi kuangalia sms zako... yani saivi wanaume tumejaa maneno kuliko hata wanawake!

Yaani post yake imenikera sana,
1 inamuhusu nini??
2 kaileta hapa ili iweje maana binafsi sijaona content
 
Wanna MMU Mkiambiwa ukweli huwa inawauma sana! I realise. Sasa kama imukukera why umeng'ang'ana kupost?
 
Sizinga mada yako iko relevant ila jinsi ulivyoileta... inakera! Iko kimipasho zaidi, kusikiliza maongezi yasiyokuhusu kwenye daladala au kusoma conversation za watu si busara!
 
Last edited by a moderator:
Nyie endeleeni kuleta madharau yenu, lakin ikifikia inshu nzito kama ya kuhusu mtoto naanza kuitunza mimba mpaka unajifungua, nimegharamika tena kwa upasuaji halafu dakika ya mwisho nafonalise mtoto siwa kwangu, nachinja! ! SHingo ni halali yangu pambav zenu! !

Mbona watoka povu mkuu.
Unakumbuka ulivobambikiwa?
 
Baba wa mtoto amjuaye ni mama........

wengi tu wamepigwa magumashi hapa mjini mpaka vijijini.........

ila mkuu Sizinga ulijuaje huo upande wa pili anayeongea siyo kanjibai , mwarabu , mzungu?

au unaufahamu ukoo wote wa mama mwenye mtoto au baba mwenye mtoto kama hauna huo ukanjibai?
 
Last edited by a moderator:
Sizinga mada yako iko relevant ila jinsi ulivyoileta... inakera! Iko kimipasho zaidi, kusikiliza maongezi yasiyokuhusu kwenye daladala au kusoma conversation za watu si busara!

Yaani kazidi na ukute hata kituo cha daladala alipitilizwa,af pia we umejuaje labda huyo anaedaiwa kakimbia ni shombeshombe mpaka uanze kujudge kua mtoto si wake?
 
Back
Top Bottom