Mabinti hembu kuweni wakweli kuhusu watoto! !

Mimi nilikuwa na demu,baada ya kuchuniana kwa muda wa mwaka mmoja na nusu,akaja home na mimba,bahati mbaya akakuta muzetya nimetuliza mutoto gheto,na ana mimba changa.Alitoka mkuku halafu akaanza kutuma sms kudai kwamba alishawaambia home kwao kwamba mimba ni ya kwangu,nilimshangaa kidogo nimtukane na kumuuliza hiyo miba iliingia kwa uwezo wa roho mtakatifu au?????Ila in Short Demu wangu yule alikuwa katili,kwa sababu alifanya vile akijua kwamba mimi nilimpenda kupita kiasi,kwa hiyo alidhani kwamba akija na mimba yake basi nitakuwa nimesahau makosa aliyonitendea na kumwonyesha LOVE kama zamani!!!!For sure kama angekuja mtupu bila tumbo nilikuwa tayari kumwacha wa sasa na kumchukua YEYE,lakini kwangu kuja na MIMBA ya mtu mwingine ni DHARAU kubwa sana.Je wadada mnasemaje???????
 
Be smart mkuu, mbona we ni wa kitambo hapa, etlist maveterani tuwe tunaheshimiana bro! ! Kwahiyo hujaona chochote cha kuchangia kweli? Anyway labda unazeeka vibaya! !

Shakusoma kiongozi - POTEZEA, sio mi peke yangu niloshangaa kitendo chako cha kusikiliza maongezi ya watu.
 
Hawa ndo ukikaa nao kiti kimoja wakiona unachat na mtu hawaishi kuangalia sms zako... yani saivi wanaume tumejaa maneno kuliko hata wanawake!

Aha aha aha aha....
 
Hahahahaaaaaa!!!! Mimi nitamletea Skin tite pamoja na Udi wa mawaridi, shanga, na wanja ufananao na Dera!!!

Nashukuru Lisa nitumie kwa EMS nizipate kwa haraka. Usisahau rangi ya kucha
 
Last edited by a moderator:
Mimi nilikuwa na demu,baada ya kuchuniana kwa muda wa mwaka mmoja na nusu,akaja home na mimba,bahati mbaya akakuta muzetya nimetuliza mutoto gheto,na ana mimba changa.Alitoka mkuku halafu akaanza kutuma sms kudai kwamba alishawaambia home kwao kwamba mimba ni ya kwangu,nilimshangaa kidogo nimtukane na kumuuliza hiyo miba iliingia kwa uwezo wa roho mtakatifu au?????Ila in Short Demu wangu yule alikuwa katili,kwa sababu alifanya vile akijua kwamba mimi nilimpenda kupita kiasi,kwa hiyo alidhani kwamba akija na mimba yake basi nitakuwa nimesahau makosa aliyonitendea na kumwonyesha LOVE kama zamani!!!!For sure kama angekuja mtupu bila tumbo nilikuwa tayari kumwacha wa sasa na kumchukua YEYE,lakini kwangu kuja na MIMBA ya mtu mwingine ni DHARAU kubwa sana.Je wadada mnasemaje???????
Ni udanganyifu tu ila wadada wakiambiwa ukweli wanageuka mbogo
 
Kuna watu wana muda wa kupoteza. Sasa kilichokufanya Sizanga uanze kupiga chabo kwa dada wa watu ni nini? Anakuhusu nini? Na unajuaje kuwa huyo bwana hana "uwalaza" au "mweupe" au "kanjubhai"? How is it any of your concern dude? Ukizaliwa mwanaume shurti u-behave ki-ume.
 
Wadada for real sometimes wanakuwa makatili sana,kwa watoto wao na wanaume!!!Mtoto kulelewa na mtu ambaye sio baba yake kwa mipango iliyofanywa na mama yake ni DHAMBI kubwa!!!!!
 
Masikio hayana kifuniko kama ambavyo macho yenu yasivyo na pazia...

Wengi mnamsimanga mleta mada kwa nini alisikiliza aliyoyasikia...

Lakini mbona hamjiulizi ninyi kwa nini mmesoma aliyoyaandika na kuanza kupaza sauti zenu...

Haikuhusu sepa, tena chapa lapa...inakuhusu changia kulingana na kinachopaswa kujadiliwa...

Alaaaaaaaa!!!!
 
This is JF.........haiwezekani wote tuwe tunafikiria sawa........

wengine wameenda beyond.....let say ME nimejiuliza mtoa mada

ametumia criteria gani kujua kuwa yule dada anadanganya!!!!!!

kusikiliza tu maongezi then una jump into CONCLUSION!!!!!!!!!!!!!!!!

mtoto yuko kama kanjibhai what if huyo alokuwa anaongea nae pia ni Kanjibhai........

inawezekana alikuwa na nia njema ila uwasilishaji wake namna ulivyo lazima mtu uwasilishe concern zako!!!
 
ana machungu sana , kwani ana mtoto mchanga anayemuhudumia..........
 
Just nina imagine jinsi nilivyoilea mimba ya ma wife halafu at the end nakuta kimeo, how real pains? ? Siezi vuja povu just reality

Kaza moyo na uilee.
Wewe una uhakika huyo unayemwita baba, ni baba yako halisi?
 
ana machungu sana , kwani ana mtoto mchanga anayemuhudumia..........

huyo dada ye ndio hana machungu ya kukimbiwa na the so called BABA waa mtoto!!!!!

tumemuelewa lakin hakuwa na haja ya kumtumia huyo dada as a VICTIM wa hayo machungu yake!!
 
this is jf.........haiwezekani wote tuwe tunafikiria sawa........

Wengine wameenda beyond.....let say me nimejiuliza mtoa mada

ametumia criteria gani kujua kuwa yule dada anadanganya!!!!!!

Kusikiliza tu maongezi then una jump into conclusion!!!!!!!!!!!!!!!!

Mtoto yuko kama kanjibhai what if huyo alokuwa anaongea nae pia ni kanjibhai........

Inawezekana alikuwa na nia njema ila uwasilishaji wake namna ulivyo lazima mtu uwasilishe concern zako!!!

hivi leo dada yangu mbona tumekutana na mada za kutuchanganya? Kuna nini? Ingekuwa j3 ningesema hangover lakini j4 kweli kuna hangover?
 
Back
Top Bottom