Mabinti hembu kuweni wakweli kuhusu watoto! !

Mabinti hembu kuweni wakweli kuhusu watoto! !

Mkuu nyoosha maelezo kidogo!
Be direct bhanaa!!!
Sema wanaume WENGINE akiwemo mtoa mada! Wamekua vimeo!
Naamini wewe huna mapigo haya!!!
...
This is 1 among the result of Bad bring up! Boys and girls to be treated equal!!!!

Mkuu kweli ulimi umeteleza hapo... BAADHI na si wote!
Tupo pamoja!
 
Hapa hakomi mtu.
Mwendo wa mpera mpera mpaka mzime zenu.
Na tutazidi kuwabambikia watoto mpaka akili iwakae sawa.

na muendelee kukaza uzi hivyo hivyo nisijue mpaka naondoka hapa duniani ,,,,,,,,,
vinginevyo nitawala tigo wote watatu,,,,,yaani wewe , huyo mtoto uliyenibambikia na huyo baba wa damu wa huyo mtoto.........
 
The real thing ni kwamba Nimetoka juzi tu hospital kumuuguza ma wife ambaye namshukuru Mungu amejifungua salama mtoto wa kike (nitaanzisha sredi kuwaashukuru kwa mixhango yenu) kwahiyo lengo halikuwa kumsiluza yule binti, bali kwajinsi nilivyotoka hospital na kujua reality ya shida zotwiksnibidi nijiulize sana hayo mskitu

Kwanza, nikupe hongera nikupe hongera kwa kujaaliwa mtoto!
Pili, nadhani ungandaa thread yako ili kuleta mada ilokaa vizuri, hapa umeonekana kuletavmambo ya watu usowafahamu hata chembe, it's not health broda...
Ila pongezi sana kwa kujaaliwa mtoto!
 
huyo dada ye ndio hana machungu ya kukimbiwa na the so called BABA waa mtoto!!!!!

tumemuelewa lakin hakuwa na haja ya kumtumia huyo dada as a VICTIM wa hayo machungu yake!!

hata mpira unachezwa ule ule lakini fomesheni zinatofautiana ,,,,,,,, hivyo hivyo mleta mada katumia fomesheni yako , japo hata mimi naona amekurupuka kwa kuhukumu muonekano wa ukanjibhai wa mtoto bila kumfahamu huyo baba wa upande wa pili,,,,,,,,,,,,

angalizo;hebu na nyie muwache kubambikia watu mimba bana......... hamuoni kama mnaongeza wimbi la kuvictimiziwa kwa kuzidi kuwajeruhi madume mtaani?
 
Masikio hayana kifuniko kama ambavyo macho yenu yasivyo na pazia...

Wengi mnamsimanga mleta mada kwa nini alisikiliza aliyoyasikia...

Lakini mbona hamjiulizi ninyi kwa nini mmesoma aliyoyaandika na kuanza kupaza sauti zenu...

Haikuhusu sepa, tena chapa lapa...inakuhusu changia kulingana na kinachopaswa kujadiliwa...

Alaaaaaaaa!!!!

U can't be serious...
 
mleta mada hana tatizo lolote japo manamwita mmbea, ana maneno, n.k, niseme hv, kama mngejua ni namna gani hili swala la kutosema ukweli kuhusu mtoto ni wa mwanaume yupi kwa wadada ni tatizo kubwa hasa kwa watu makini ambao hawapendi usumbufu usio wa maana mngemuunga mkono, lakini ukiona mwanaume anampondea huyu jamaa ujue huyo yeye kila mwanamke ni wa kumpa mimba na hana habari na watoto, kwa kifupi ni malaya mkubwa, ila kwa wenye uchungu na damu zetu na tunaopenda watoto lazima tuone hili kam tatizo, kwa wanawake kumponda ni sawa kwa sababu wanahisi wako sahihi kwa sababu ndo kawaida yao, mimba anaipata kwa tamaa zake na anapatiwa na mwenye tamaa mwenzake mtoto anataka alelewe na mwanaume aliyetulia kwa ku assume kwamba jamaa hana complication, kuweni makini nyie wadada
 
We una kipilipili halafu mtoto nywele za Singa,,,ukiuliza kachukua kwa Mjomba ake si uhanithi huo?
 
na muendelee kukaza uzi hivyo hivyo nisijue mpaka naondoka hapa duniani ,,,,,,,,,
vinginevyo nitawala tigo wote watatu,,,,,yaani wewe , huyo mtoto uliyenibambikia na huyo baba wa damu wa huyo mtoto.........

Hahah hata mimi aisee sitoua ni mwendo wa tiGo kwa wote kasoro mtoto tu!
 
na muendelee kukaza uzi hivyo hivyo nisijue mpaka naondoka hapa duniani ,,,,,,,,,
vinginevyo nitawala tigo wote watatu,,,,,yaani wewe , huyo mtoto uliyenibambikia na huyo baba wa damu wa huyo mtoto.........

Mtot kakosa nini sasa........si mnaona mawazo yenu looh.....

Inasikitisha sana I hope ur not SERIOUS why hurting the KID.........

he is Innocent he doesnt even know what the hell is going on in the WORLD!!!!!!!

REALLY U SURPRISED ME!!!
 
Habari zenu MMU!
Jana nipo ndani ya daladala nyerere road-kariakoo kulikuwa na dada mmoja nimekaa nae kabeba mtoto mapajani huku anabofyabofya simu, baada ya dakika chache akawa anaongea na mwenzake kwa simu, ingawa maongezi yake yalikuwa yanakatikakatika kutokana na uhaba wa vocha na networks lakini niliweza kuunganisha some dots.

Kiufupi yule dada akimzungumzia mshkaji wake akisema "Unajua mtu mwenyewe simuelewi ameamua kukimbia, eti anasema huyu mtoto sio wake, kama juzi alikuja akaniomba ela elfu10nikampa, sasa yeye badala ya kukaa tukaongea ye anaamua kukimbia! !".

Kwa ufupi hiyo ndio ilikuwa main contents ingawa simu ilikuwa inakatakata. sasa mimi nikaamua nigeuke vizuri ili kumwangalia yule bebito, aisee ni kama ana miezi 4 au 5 hivi, kwanza mtoto ana kiwalaza kichwani, halafu keupe flani na nywele zake ni half-partial kanjibhai! ! Dah nouma sana!! Yani hata ningekuwa mie ningetoka nduki aisee! !

Mi nina imani ni mama mwenyewe ndo anajua siri ya baba wa mtoto, sasa kwanini asiwe mkweli? Na hata yule dada theway akivyoongea, ni full changalamacho! !

Yaonyesha watoto wengi ni wa kubambikiwa kwenye familia zetu yani! !
mwanaume unakuwa mbeambea na mshakunaku,maongezi ya watu yanakuhusu nini mpaka unawashwawashwa kuleta hapa JF

hata mpira unachezwa ule ule lakini fomesheni zinatofautiana ,,,,,,,, hivyo hivyo mleta mada katumia fomesheni yako , japo hata mimi naona amekurupuka kwa kuhukumu muonekano wa ukanjibhai wa mtoto bila kumfahamu huyo baba wa upande wa pili,,,,,,,,,,,,

angalizo;hebu na nyie muwache kubambikia watu mimba bana......... hamuoni kama mnaongeza wimbi la kuvictimiziwa kwa kuzidi kuwajeruhi madume mtaani?

Sawa wenye masikio watakuwa wamesikia.......

kama match za mchangani wacheza na timu tofauti ndo hapo ubambikizaji unapokuja!!!!
 
Nyie endeleeni kuleta madharau yenu, lakin ikifikia inshu nzito kama ya kuhusu mtoto naanza kuitunza mimba mpaka unajifungua, nimegharamika tena kwa upasuaji halafu dakika ya mwisho nafonalise mtoto siwa kwangu, nachinja! ! SHingo ni halali yangu pambav zenu! !
utashitakiwa na jamhuri ya muungano wa tanzania ndio ufie jela.
 
Mtot kakosa nini sasa........si mnaona mawazo yenu looh.....

Inasikitisha sana I hope ur not SERIOUS why hurting the KID.........

he is Innocent he doesnt even know what the hell is going on in the WORLD!!!!!!!

REALLY U SURPRISED ME!!!

ha ha ha!!!!!!!!!!
ndiyo muache kubambikia watu ,,,,,,, huku mnawapeleka puta puta.......
 
Sawa wenye masikio watakuwa wamesikia.......

kama match za mchangani wacheza na timu tofauti ndo hapo ubambikizaji unapokuja!!!!

kuna rafiki yangu alipelekeshwa puta kuwa watoto ni wake,,,,,,,,,,, jamaa mwingine iliyoambiwa watoto ni wake akamuoa huyo madada , ndani ya ndoa mwaka mmoja akaibuka njemba ya tatu kudai mtoto............ ilipopigwa DNA mtoto ni wa huyo jamaa watatu,,,,,,,,,,,
sasa sijui ndiyo ilikuwa tamaa au ni nini?,,,,,,, kwa msela wangu demu alikuwa anashinikiza apewe mgegedo kwa vigezo kuwa anampenda na wamezaa wote.
 
usicheke umenishangaza sana........hivi kukusingizia mtoto kunaweza kukufanya

um hurt huyo mtoto looh

mjadala wetu na madame b , tuachie tu sisi my dear,,,,,,,,

kuhusu kumdhuru mtoto au hata wao sitapendelea sana,,,,,,,

na kuhusu mtoto huyo baba mwingine hawezi kumpata/kumchukua kirahisi rahisi labda wote tuwe victims wa huyo mdada bila kujijua ndiyo kutakuwa na discussion...............
 
wanaume mjiamini bana, mkiwa mnasex mnaona raha utamu ila matokeo mnayakataa. mtakuwa mnakataa damu zenu mpaka lini? kama huna mpango wa mtoto na unahisi kubambikiwa mimba si mtumie kinga!
 
Back
Top Bottom