Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,489
Mkubwa ustaarabu ni Jambo zuri Sanaa, ila Kuna Watu Hawa lijui Hilo kabisa.Acheni kutukaniana mama zenu jamani. Our mothers are innocent na wengine walishatangulia mbele ya haki. Kwa nini tu msitukanane nyinyi kwa nyinyi bila kuingiza wazazi wenu?
Probably you are very angry lakini hasira zikija kukuisha si ajabu ukajishangaa kwa mambo uliyofanya wakati ukiwa na hasira. Try to calm down a bit even though no one in the history of calming down has ever calmed down after being told to calm down π
Usichukulie hii mitandao seriousMkubwa ustaarabu ni Jambo zuri Sanaa, ila Kuna Watu Hawa lijui Hilo kabisa.
Wao wanacho waza ni kutafuta attention kupitia mtu, dogo nili mwambia punguza kuni mention Sana ndugu.
Sasa naona ikawa tatizo, kutwa ana zungumza mambo mengi kuni husu akati hatuja wahi hata kukutana.
Na Kuna sisi huwa tuna mstari fulani, uki uvuka Don't blame me maana sita Rudi kufikiri Kama binadamu, ila Nita kupa majibu kwa style uipendayo.
Kani shangaza sana, yaani mpaka ana anzisha I'd mpya ili kuja kuni taja tu aisee kweli kichwa chake hakiko sawa.Usichukulie hii mitandao serious
Sisi tunatukanwa tunakaa kimya unaweza kuanzisha uzi akatokea mtu akatukana matusi na kukuita shoga na matusi mabaya na hakujui wala nini?
Tuliza temper wewe ni kati ya watu nawaheshimu na ninakusomaga nondo zako mkuu
So calm down
Sent using Jamii Forums mobile app
π Ndio yanayomkutaHamjawahi kuwasoma Gudume na Seneta wa mtwiz hawa watu ni waongo kuliko uongo, kwanza kila siku wenyewe ni choka mbaya halafu wanakutana(ga) na zali la kupendwa na watoto wa kali wakiwa na mikokoteni yao ya maji.
πππ
πππ
Kuna mtu nimeona kacomment 'hii tangawizi' ata siendi kusoma πππ
Nakuona unavyotikisa kiuno ππππ
Ndio niniMkenya Hana Hasbro!?!?!?!??!??!!!
Nyie mnaishi dunia ya wapi, ambayo hamkutani na matukio?Kuna mtu nimeona kacomment 'hii tangawizi' ata siendi kusoma πππ
[emoji23][emoji23] Hivi vimdoli unavitoa wapi?Nakuona unavyotikisa kiuno π
Umejuaje wanatunga nyui za uongo?Wakuu habari?
Natumaini wote mko wazima huku mkijiandaa kusherehekea ufufuko wa bwana.
Humu ndani kuna mabingwa wa kutunga nyuzi za uongo uongo; ukisoma mstari wa kwanza mpaka wa mwisho, unakuta hakuna uhalisia wowote.
Ebu tuwataje hawa mabingwa, ikiwezekana wapate pepsi kwa gharama ya mifuko yao.
Nipo pale, napata gahawa.
Twende kazi