Mabilionea wa tz hawaoi,masikini harusi kila siku.. why? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mabilionea wa tz hawaoi,masikini harusi kila siku.. why?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Smile, Apr 15, 2013.

 1. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #1
  Apr 15, 2013
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,431
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  refer
  late advocate lyaga sawaya mawalla

  late babu sambeke
  na wengine wengi naogopa kutaja
   
 2. c

  capo JF-Expert Member

  #2
  Apr 15, 2013
  Joined: Apr 12, 2013
  Messages: 233
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Masikini wengi wanawaza chini tu.
   
 3. babuwaloliondo

  babuwaloliondo JF-Expert Member

  #3
  Apr 15, 2013
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 378
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wakitaka mchezo wanapata wakati wowote, maskini hana ujanja anaamua kuleta ndani na matatizo yote ya familia ya mke yanaamia kwake
   
 4. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #4
  Apr 15, 2013
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,696
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. A

  Amelie Senior Member

  #5
  Apr 15, 2013
  Joined: Oct 13, 2008
  Messages: 195
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  da aisee,kwani ni kwanini watu wanaoa?
   
 6. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #6
  Apr 15, 2013
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,500
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  kuoa/kuolewa ni utumwa
   
 7. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #7
  Apr 15, 2013
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,639
  Likes Received: 380
  Trophy Points: 180
  Na mabilionea wa kike je?
  Au hakuna mabilionea wa kike Arachuga.
   
 8. Lastname

  Lastname JF-Expert Member

  #8
  Apr 15, 2013
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 925
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Wanazongwa na kila demu kiasi kwamba wanashindwa kuchagua, na kila anayekuja anagongwa. Masikini hazongwi hivyo mmoja akimpenda hataki kupoteza hiyo bahati
   
 9. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #9
  Apr 15, 2013
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,133
  Likes Received: 259
  Trophy Points: 160
  Mmh, walikuwa hawajawowa??
   
 10. Bushloiaz

  Bushloiaz JF-Expert Member

  #10
  Apr 15, 2013
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 476
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Smile fedha saa nyingine sio kitu kizuri kwa mfano Mawalla alikuwa na watoto tayari kuoa ni commitment ambayo ingeweza kumzuia kugegeda mademu wengine,Babu Sambeke pia ana watoto wakubwa tu sasa ya nn aoe wakati mbunye zipo nje za kutosha.Na wewe nikuulize swali je ungekubali kuolewa na watu kama wale na unajua wana strings of women for yhe sake umeolewa na bilionea?
   
 11. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #11
  Apr 15, 2013
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,171
  Likes Received: 953
  Trophy Points: 280
  Sema mabilionea wa kiarusha tu,,

  Dar Town, ku Ring bells ndo habari ya mjini,,, hata Liverpool imesema" You ll never walk alone"

  Watu kila wekend tupo kwenye ubwabwa,,

  Wana apollo wanaogopa majukumu maana pesa zao nyingi ni Chafu so wanaogopa kuoa maana zinaweza yeyuka
   
 12. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #12
  Apr 15, 2013
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,647
  Likes Received: 21,508
  Trophy Points: 280
  INTERESTING..
  ukiwa huna kitu bora uoe upate wa ku share nae matatizo lol
   
 13. makavulaivu

  makavulaivu JF-Expert Member

  #13
  Apr 15, 2013
  Joined: Dec 29, 2012
  Messages: 402
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mmhh!! ungesubiria hata msiba usahaulike kidogo, Ndugu zao hawatafurahi, sio poa kujadili mambo yao binafsi ya marehemu kwakua hayuko hai tena ili aweze kujitetea!!
   
 14. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #14
  Apr 15, 2013
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,898
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  kujenga ni kuogopa maisha.
  pia umeniongezea msemo KUOA NI WOGA WA KUTONGOZAUNATONGOZA MARA MOJA UNAPIGA MIAKA KAMA 50 HIVI HA HA HA HAAAA
   
 15. Ndetirima

  Ndetirima JF-Expert Member

  #15
  Apr 15, 2013
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 875
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 60
  The Boss umenichekesha sana na kunifanya nimalize siku yangu vizuri
   
 16. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #16
  Apr 15, 2013
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,611
  Likes Received: 805
  Trophy Points: 280
  Kalimanjila wao huwa hawaruhusu kuoa!!! Ha ha ha!! kidding!!! Hata Jeet Patel hajaoa!!
   
 17. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #17
  Apr 15, 2013
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,053
  Trophy Points: 280
  Do you.

  Mabilionea wasipooa, kivyao, kama unapenda sana kuoa oa.

  Watu baki wakioa au wasipooa ni haki yao ya kikatiba, sioni mtu mwenye shughuli zake kitamuwasha nini.
   
 18. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #18
  Apr 15, 2013
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,322
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  wenzenu tunataka tuolewe ili tupunguze matatizo nyie mnataka kuoa ili mshee matatizo?
  kweli interesting
   
 19. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #19
  Apr 15, 2013
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,431
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  shida ni nini mkuu nipe jibu...kuna kijana wa mengi yule yupo around 36 nae
   
 20. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #20
  Apr 15, 2013
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,279
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  If you can get free and yet ad lib milk, why keep a cow?

  Unajua wewe kasheshe ya kukata majani na kuzoa samadi??

  It's just for the swimmers only...

  Babu DC!!
   
Loading...