Mabilionea wa tz hawaoi,masikini harusi kila siku.. why?

Do you.

Mabilionea wasipooa, kivyao, kama unapenda sana kuoa oa.

Watu baki wakioa au wasipooa ni haki yao ya kikatiba, sioni mtu mwenye shughuli zake kitamuwasha nini.
umeoa wewe?
 
Wanawake waoga wa ma deal!hao wote hapo walikua na biashara zisizojulikana!mke atakuzua usitoke usiku kwenda kwenye mishe mishe
 
Back
Top Bottom