Mabilionea wa tz hawaoi,masikini harusi kila siku.. why?

labda ndio maana ni ma bilionea..
Maana saa nyingine ndoa duuhhh.

nisiseme mengi babu Dark City atanitoa kwenye
urithi wa wajukuu bure balaa sitaki.
 
Last edited by a moderator:
Hivi kweli hao watu ni mabilionea au wabongo ushamba unatusumbua??


Billionaire is a person possessing asserts worth at least one billion USD , EURO or POUND. (Kwa mujibu wa oxford dictionary na wikipaedia)
Hizo kwa uchache ni trilioni moja nanusu na ushee Tanzania Shillings(kwa conversion ya USD).
 
nilitaka kujua kama wewe ni bilionea au vipi
maana identity mojawapo ya bilionea bongo ni kutokuwa na ndoa

Ndoa ni nini kwanza?

Usije kusema mabilionea hawaoi kumbe wana wake ishirini ishirini.
 
Hivi kweli hao watu ni mabilionea au wabongo ushamba unatusumbua??


Billionaire is a person possesses at least one billion USD , EURO or POUND. (Kwa mujibu wa oxford dictionary na wikipaedia)
Hizo kwa uchache ni trilioni moja nanusu na ushee Tanzania Shillings(kwa conversion ya USD).
wenye pesa nyingi basi
 
Kwa kawaida watu wengi wenye utajiri unatokana na dili chafu huwa hawaoi. Kama akioa basi jua vifaa vingi vinavyotumika kwa dili hizo atakuwa amehifadhi sehemu nyingine. Kwa mfano mtu ni jambazi anaiba magari, mabenki na michongo mingine ya kuua hata binadamu. Mtu huyo ana silaha za kila aina nyumbani na accessories zake, pia mtu huyo pengine anagushi na ana kila aina ya mihuri na headed papers za makampuni Tanzania. Mtu huyo atakuwa na mikutano mingi na majambazi wenzake ili kupanga kikosi kazi cha jambo fulani!! Je mtu huyo atathubutu kuoa mwanamke wa kudumu ambaye ni kiumbe dhaifu na wanaweza kukosana siku moja na ikafanya siri kubwa itoke nje?

Mifano mingi ipo sana na tusiende mbali tuanzie na Bob Sambeke, Mikataba angamizi ya Nyaga, marehemu wa Dar waliohusishwa na madawa ya kulevya (refer sakata la madawa ya kulevya bungeni).

Kwa hali yoyote ile the so called wafanyabiashara fake mabillionaire ambao hawajui uchungu wa biashara wana siri nyingi nyeusi na nyekundu kuliko damu ambazo ni hatari!!! Jua pia cirle yao na wanawake kwa uzinzi ni hatari. Kwa mantiki hii mke ni lazima kuwe na ugomvi hasa kwa mahawara na vimada maana jua mke ana haki na si ma--la--ya. Kwa hali hii kama ikitokea ugomvi kati ya mke na mume ni rahisi mke kutoa siri!!

HAWATAKAA WAOE KABISA!!!!!! NA wakioa wanavuna!!!!! Rest in Peace Bob, Nyaga, Mpakanjia et al...!!!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom