Shabiby nae unamuita tajiri wa Dodoma? Hivi kumbe Gairo ni Dodoma? Nijuavyo Shabiby ni tajiri wa Gairo(Morogoro) na siyo Kibaigwa(mwanzo mwa Dodoma)Upo wrong mkuu,,hapo ambe upo sahihi ni bhanji tuu,,hao wengine wote makanjanja,,huyo boss ngasa hamna kitu,huyo kifimbo nakaa nae mtaa mmoja kilimani,peter fashion hawez mfikia hata masanja mkandamizaji,,,,sasa nakupa list ya wachache ninaowafahamu
1…Bhanji
2…maneno
3…shabiby
4…saldina