Mabilionea Kanda ya Kati ni shida

Aisee nimekaa hapa hii kanda ya kati yaan dodoma nimegundua kumbe kuna matajir hatari zaid hata ya kanda ya ziwa na kanda ya kazkasin hawawez kuwafikia hata kwa dawa,

Ni watu ambao wanamiliki mkwanjwa wa adabu lakin jamaa hawana mbwembwe nyingi kama za wasukuma na wachaga za kutembelea hama na gari zilizoandikwa plate number za majina yao na ni wakimia baraa hawa watu ni shida

Nakutajia baadhi yao tu
A bhanji
B boss ngasa
C peter fasion
D kifimba na kimbinyiko

Nawasilisha chalenge za matajiri wa pande uko uliko zinaruhusiwa hata kama ukiwaweka hapa ni sawa tu

Mkuu vipi Yule Boss wako upo Naye dodoma nami nipo Dodoma tuonane basi
 
Umesema hawana mbwembwe kama wasukuma ama wachaga....kwa taarifa kati ya hiyo list wawili ni wachaga
 
Hapa Iringa wapo kibao kama ASAS,MT HUWEL,FM ABRI,KT ABRI,AT HUWEL,IVORI,nk.Hawana mbwembwe kabisa!
 
Aisee nimekaa hapa hii kanda ya kati yaan dodoma nimegundua kumbe kuna matajir hatari zaid hata ya kanda ya ziwa na kanda ya kazkasin hawawez kuwafikia hata kwa dawa,

Ni watu ambao wanamiliki mkwanjwa wa adabu lakin jamaa hawana mbwembwe nyingi kama za wasukuma na wachaga za kutembelea hama na gari zilizoandikwa plate number za majina yao na ni wakimia baraa hawa watu ni shida

Nakutajia baadhi yao tu
A bhanji
B boss ngasa
C peter fasion
D kifimba na kimbinyiko

Nawasilisha chalenge za matajiri wa pande uko uliko zinaruhusiwa hata kama ukiwaweka hapa ni sawa tu
Matajiri wa Dodoma michosho,wanashinda kutwa wamevaa ndala na madaso,utajiri gani wa hivyo...!!
 
Upo wrong mkuu,,hapo ambe upo sahihi ni bhanji tuu,,hao wengine wote makanjanja,,huyo boss ngasa hamna kitu,huyo kifimbo nakaa nae mtaa mmoja kilimani,peter fashion hawez mfikia hata masanja mkandamizaji,,,,sasa nakupa list ya wachache ninaowafahamu

1…Bhanji
2…maneno
3…shabiby
4…saldina
 
Mbona unataja wa kwenu tu mkuu

Kwa hiyo uliacha kuwataja kwa kuwa ni wa Kaskazini? Hapo Dodoma nimeishi, na niligundua kuwa matajiri wengi ni wa Kaskazini, kama ilivyo kwa mikoa mingine. Huwezi kutaja matajiri katika mji wowote ukakosa wa Kaskazini, na ndiyo wengi sasa
 
Upo wrong mkuu,,hapo ambe upo sahihi ni bhanji tuu,,hao wengine wote makanjanja,,huyo boss ngasa hamna kitu,huyo kifimbo nakaa nae mtaa mmoja kilimani,peter fashion hawez mfikia hata masanja mkandamizaji,,,,sasa nakupa list ya wachache ninaowafahamu

1…Bhanji
2…maneno
3…shabiby
4…saldina
jamaa ana utani kweli kweli boss ngasa bilionea...??? sijawahi kuona bilionea anatembelea pikipiki SAN LG
 
Back
Top Bottom