Mabilionea Kanda ya Kati ni shida

Mabilionea Kanda ya Kati ni shida

Upo wrong mkuu,,hapo ambe upo sahihi ni bhanji tuu,,hao wengine wote makanjanja,,huyo boss ngasa hamna kitu,huyo kifimbo nakaa nae mtaa mmoja kilimani,peter fashion hawez mfikia hata masanja mkandamizaji,,,,sasa nakupa list ya wachache ninaowafahamu

1…Bhanji
2…maneno
3…shabiby
4…saldina
Huyo maneno ndo nan mkuu ana miliki nini na nini na ni kabila gan
 
Wewe bado mshamba wa dodoma yaan naye Peter fashion ni billione? Au matangazo ya radio mwangaza yanakudanganya!
Yaan wewe mgogo utakuwa umetoka kwenu kitambo sana sasa umerud na mawenge.
Wewe kweli ni mganga wa ukoo sasa hebu nitajie matajili unaowajua
 
hahahahaaa.... Mkuu kila mtu ni tajiri...
 
Huu uzi jamaa wa kaskazini wameshakuja kuchafua hali ya hewa.
 
Kuna mmiliki wa shule ya Martin Luther School, jamaa anaonesha ana pesa sana.
c3107ac8f49cde5faf47e36355ac306a.jpg
 
Aisee nimekaa hapa hii kanda ya kati yaan dodoma nimegundua kumbe kuna matajir hatari zaid hata ya kanda ya ziwa na kanda ya kazkasin hawawez kuwafikia hata kwa dawa,

Ni watu ambao wanamiliki mkwanjwa wa adabu lakin jamaa hawana mbwembwe nyingi kama za wasukuma na wachaga za kutembelea hama na gari zilizoandikwa plate number za majina yao na ni wakimia baraa hawa watu ni shida

Nakutajia baadhi yao tu
A Bhanji
B Boss Ngasa
C Peter Fasion
D Kifimba na Kimbinyiko

Nawasilisha chalenge za matajiri wa pande uko uliko zinaruhusiwa hata kama ukiwaweka hapa ni sawa tu
Kuna watu bado wanapanda Hummer mpaka leo?
 
Huyo kimbinyiko alikua mzabuni we tu pale jeshini anampunga si mchezo
Kule Makutupora?
Jamaa yuko vizuri. Lakini huwez kuamini Dodoma kuna watu wana mpunga sana lakini inasemekana wengi WACHAGA.
 
Umewasahau Consolata Daudi Mallya, TAKAWEDO, Kidia Vision, City Boy, Mshewe, Mselia (alijipiga risasi ishu ya viroba), perugina, Mmiliki wa Okaoni Hotel, na wote ni WACHAGGA, Kanda ya Kaskazini
Kweli kabisa ni wachaga watupu,niliwahi kuishi Dodoma,Mwez Desemba mji hupooza wote wanaenda kula Mbege,tambiko la mwisho wa Mwaka Uchagani.
Hivyo ni kweli Dodoma ina watu wako vizuri, yaani wana mkwanja,lakini ni Mangi
 
Back
Top Bottom