google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,667
- 13,868
haya tumeona a, b c zako
matajiri wapo moro mkuu huko wana hela ya mbuzi tuAisee nimekaa hapa hii kanda ya kati yaan dodoma nimegundua kumbe kuna matajir hatari zaid hata ya kanda ya ziwa na kanda ya kazkasin hawawez kuwafikia hata kwa dawa,
Ni watu ambao wanamiliki mkwanjwa wa adabu lakin jamaa hawana mbwembwe nyingi kama za wasukuma na wachaga za kutembelea hama na gari zilizoandikwa plate number za majina yao na ni wakimia baraa hawa watu ni shida
Nakutajia baadhi yao tu
A Bhanji
B Boss Ngasa
C Peter Fasion
D Kifimba na Kimbinyiko
Nawasilisha chalenge za matajiri wa pande uko uliko zinaruhusiwa hata kama ukiwaweka hapa ni sawa tu
Huyo maneno ni mgogo,anamiliki kampuni la usafirishaji long vehicles,,anapatkana karibia na veta dodoma kota za reli ndo yard yake ilipo,,ana scania zaid ya mia tatu ,yupo vizur....Huyo maneno ndo nan mkuu ana miliki nini na nini na ni kabila gan
Maneno ni ndugu zake kina damasi mallya,edmund mallya,yeye anaitwa felix mallya.na ni mchagga wa kibosho okaoni.nikusahihishe tuu dodoma hakuna mgogo anaeleweka kwa ela paleHuyo maneno ni mgogo,anamiliki kampuni la usafirishaji long vehicles,,anapatkana karibia na veta dodoma kota za reli ndo yard yake ilipo,,ana scania zaid ya mia tatu ,yupo vizur....
Utabakia kusifia wenzako kuwa ni mabilionea jitume na ww uwe bilionea ili usifiwe usibakie kusifia tu watu ambao hata hawakujui kuwa unawasifiaAisee nimekaa hapa hii kanda ya kati yaan dodoma nimegundua kumbe kuna matajir hatari zaid hata ya kanda ya ziwa na kanda ya kazkasin hawawez kuwafikia hata kwa dawa,
Ni watu ambao wanamiliki mkwanjwa wa adabu lakin jamaa hawana mbwembwe nyingi kama za wasukuma na wachaga za kutembelea hama na gari zilizoandikwa plate number za majina yao na ni wakimia baraa hawa watu ni shida
Nakutajia baadhi yao tu
A Bhanji
B Boss Ngasa
C Peter Fasion
D Kifimba na Kimbinyiko
Nawasilisha chalenge za matajiri wa pande uko uliko zinaruhusiwa hata kama ukiwaweka hapa ni sawa tu
Vp kuhusu ugoro siku hiz hamutumii
Vp kuhusu ugoro siku hiz hamutumii
Bora angemuweka Bilionea Le mutuz ndo mwenye asili ya DomHao uliowataja kwa asili sio wa Dodoma hao wa kuja wote hapo, asili ya majina yao ni huko unakopakataa,. Huko Dodoma wamekuja kuchuma tuu.
Ngassa ni msukuma eteBoss ngasa nae ni bilionea????
Bora ungekaa tu kimya kuliko kuonyesha upumbafu wako hadharani.....Wachaga utajili wao kama wakinga tu magumashi mengi ukienda kule rombo kila baada ya nyumba mbili kuna mtoto taahira
Ongeza Priscus Alexander, Felix Maneno, KazimotoUmewasahau Consolata Daudi Mallya, TAKAWEDO, Kidia Vision, City Boy, Mshewe, Mselia (alijipiga risasi ishu ya viroba), perugina, Mmiliki wa Okaoni Hotel, na wote ni WACHAGGA, Kanda ya Kaskazini